Jana nilikuwa natembea tembea nikafika mahala gari yangu ikamaliza mafuta ikabidi niende sheli nikaweke mafuta wakati dada mmoja ananiwekea mafuta nikawa nimetelemka kama kuingalia gari yangu kwa nyuma nilihisi kuwa labda jamaa mmoja amenikwaluza nikiwa naandalia gari nikaonana na jamaa ambaye tulisoma naye chuo mimi nikawa nimepata kazi ya kuajiliwa nataka kuondoka jamaa ana hammer yake tukaenda hoter mmoja yenye ghalama ile mbaya tukakaa nikaanza kuuliza vipi bwana pesa ulipata wapi
jamaa akaanza kucheka sana akasema kuwa kama nataka utajiri nimwambie tu anipe nikamwambia kuwa hebu nipe jamaa akasema kuwa anipeleke kwa mganga ambaye atanipa dawa ya utajiri ambayo kafara yake ni wanawake wenye tamaa na hela tu wewe unamwita demu tu akishakuja tu wewe unampa hela halafu unaanza kumwambia kuwa baby nimepigiwa simu poa niende ila usitembee naye tu hela zako zinaanza kuongezeka tu na yeye ataandamwa na matatizo mengi sana
nilichojifunza jana kumbe wanawake wanaopenda hela wanashida sana imebidi leo nipige maombi kabisa jamaa baadae nikamuacha ili niwahi nyumbani leo
Poor Tanzanians. Shame on you.
So lets see here .
You think witches are powerful enough to give you monies?
yet witches could not stop asking you for monies
and this whole thing morphed into witches can give you monies
Is it some mental disability that makes educated people migrate to witches/witchcraft...?
or is it poverty that make them morph into diabolical needs?
Naomba nikonekt na huyo jamaa, mi nazihitaji hizo pesa!
Mchawi wewe na comments zako zlipumbafu...
Jana nilikuwa natembea tembea nikafika mahala gari yangu ikamaliza mafuta ikabidi niende sheli nikaweke mafuta wakati dada mmoja ananiwekea mafuta nikawa nimetelemka kama kuingalia gari yangu kwa nyuma nilihisi kuwa labda jamaa mmoja amenikwaluza nikiwa naandalia gari nikaonana na jamaa ambaye tulisoma naye chuo mimi nikawa nimepata kazi ya kuajiliwa nataka kuondoka jamaa ana hammer yake tukaenda hoter mmoja yenye ghalama ile mbaya tukakaa nikaanza kuuliza vipi bwana pesa ulipata wapi
jamaa akaanza kucheka sana akasema kuwa kama nataka utajiri nimwambie tu anipe nikamwambia kuwa hebu nipe jamaa akasema kuwa anipeleke kwa mganga ambaye atanipa dawa ya utajiri ambayo kafara yake ni wanawake wenye tamaa na hela tu wewe unamwita demu tu akishakuja tu wewe unampa hela halafu unaanza kumwambia kuwa baby nimepigiwa simu poa niende ila usitembee naye tu hela zako zinaanza kuongezeka tu na yeye ataandamwa na matatizo mengi sana
nilichojifunza jana kumbe wanawake wanaopenda hela wanashida sana imebidi leo nipige maombi kabisa jamaa baadae nikamuacha ili niwahi nyumbani leo
Amenikwaluza, hoter, nimejiliwa loh kwa kiswahili hiki huwezi pata hela.
Nina mashaka na uhitimu wako wa chuo! Aya nzima haina nukta, koma n.k. Lugha iliyotumika hainishawishi kuwa wewe ni mhitimu wa chuo.
Mkuu kubwa zaidi ni SHELL, sijuwi ni kitu gani, tena msomi wa chuo..
Amenikwaluza, hoter, nimejiliwa loh kwa kiswahili hiki huwezi pata hela.
inaingia akilini lakini na kupata utapata , baada ya hapo wliokusaidia utawajua undani wao na hapo ndiyo utajua maharagea ni mboga au dawa ya tumbo , masharti jumlisha na dhamana ya roho yako vitakuwa vimeshikiliwa kwa miaka kadhaa na wewe unakufa vifo vya ajabu ajabu . wanakuwa wamefuga kitu chao ambaye ni wewe ili wapate hazina ya damu si vitu vya kujivunia hata kidogo . mimi huwa najivunia misoto yangu kwa kuwa ni natural napata mlo wangu rahaaaa!!!!Ninaanza kuelewa kwa nini wazungu wanatutania kwa kutuita nyani,aiingii akilini kwenye karne hii bado kuna watu wanatafuta maendeleo kichawi