Fedha za jimbo ni kwa ajili ya maendeleo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fedha za jimbo ni kwa ajili ya maendeleo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanajamii, Nov 4, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Gazeti la mwananchi la 3 Nov. 2011 liliandika taarifa za Lema kutaka kuwatoa gerezani wafungwa waliofungwa kutokana na kushindwa kulipa faini kwa kuwalipia kupitia fedha za mfuko wa jimbo.

  Hilo laziwezi kukubalika hata kidogo, Fedha za jimbo ni kwa ajili ya maendeleo ya jimbo na si kuwalipia faini wahalifu. Mambo ya ajabu kweli haya, nchi hii tunakwenda wapi? Kama anataka kuwalipia faini wafundwa hao ni bora atumie fedha zake mwenyewe na za Chama chake.

  Aidha sina shaka Serikali itafanya uchunguzi wa kina ili kujua hao wafungwa wanaotaka kulipiwa na LEMA ili watoke gerezani wana uhusiano gani na mbunge huyu na walifungwa kwa makosa gani. Hata kama sheria itawaruhusu kutoka gerezani, basi wafuatiliwe kwa karibu ili wasisababishe matatizo miongoni mwa wananchi kwa vile haijulikani nini wamekubaliana na mbunge huyo pindi watakapokuwa uraiani.

  Nitakuwa mtu kwanza hapa Arusha kwenda mahakamani endapo fedha kwa ajili ya maendeleo ya jimbo langu kuwalipia faini wafungwa eti kwa sababu tu ya kumpatia LEMA umaarufu.
   
 2. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,471
  Likes Received: 2,006
  Trophy Points: 280
  kwani lema sio maarufu.?
   
 3. k

  kiloni JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  EPA, RICHMOND, DOWANS etc ni fedha za nani? za kazi gani! mbona hujaenda mahakamani?!! EPA imeibiwa tena fanya hivyo au unafikiria kwa masaburi!!!
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  masaburi at work
   
 5. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kwaajili ya maendeleo ya nani?
   
 6. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,125
  Likes Received: 3,310
  Trophy Points: 280
  Maendeleo ya wabunge na familia zao.
   
Loading...