Fedha za Escrow kupitia benki ya Barclay's walipewa wakina nani?

Lancashire

JF-Expert Member
Sep 20, 2014
14,045
10,329
Wakuu habari zenu,

Nimetafakari kwa muda suala la kashfa ya escrow account ambalo lilitokea mwaka Jana.
Nimejiuliza maswali kadhaa yasiyokuwa na majibu. Ilisemekana kwamba fedha hizo hazikuwa za Umma sawa nakubaliana na maelezo ya serikali.

Ninachojiuliza waliopata mgao wa fedha hizi kupitia Benki ya Kanisa Katoliki ya Mkombozi majina yao yote yalikuwa published kwa umma cha ajabu Kiasi cha fedha kilichobaki kati ya bilioni 350 na ushei zilizokwapuliwa mpaka leo hatujawahi kujuwa walilipwa wakina nani.

Naomba mnisaidie wakuu kwa mwenye kujuwa je Fedha hizo zililipwa wakina nani? Si vibaya kufahamu hata kama hazikuwa fedha za Umma.

Naomba kuwasilisha.
 
Jiwe kwenye chaka tusubiri!!
 
Hili swali ni rahisi sana... Yani jibu lake liko wazi sana... Ni sawa na mtu akuulize... "Wakati ule wa mchakato wa Katiba mpya, kuna wakati mzee Warioba alipigwa ngumi... Ni nani alimpiga ngumi mzee Warioba??"

Kila mtu anajua aliyempiga ngumi mzee wetu ni mkuu wa mkoa kwa sasa mheshimiwa Zamoyoni Mogella
 
Kuna nafasi moja ya kiburi lililo wazi. Nadhani huyu ndugu yetu anatafuta nafasi ya kwenda kuliziba. Mimi wala usinialike kwenye hiyo she rehema ya kuliziba hilo kaburi. Sina nafasi ninahubiri injili ya xto
 
CCM hawataki mjadala wa Escrow kabisa
Mkuu
Hata wewe huwezi kata 'ziwa' lililokunyonyesha. Niliwahi kusema kuwa kashfa ya RICHMOND jinsi CCM ilivyokubali kuivalia njuga, ilikuwa ni njia ya chama kujiokoa maana kwa wakati ule image ya chama ilikuwa hoi kwa 'ufisadi',they had no option. Hawakuwa wanapigania state interest, ni just for saving the party mbele ya macho ya watanzania na dunia.

KADA.
 
Wakuu habari zenu,

Nimetafakari kwa muda suala la kashfa ya escrow account ambalo lilitokea mwaka Jana.
Nimejiuliza maswali kadhaa yasiyokuwa na majibu. Ilisemekana kwamba fedha hizo hazikuwa za Umma sawa nakubaliana na maelezo ya serikali.

Ninachojiuliza waliopata mgao wa fedha hizi kupitia Benki ya Kanisa Katoliki ya Mkombozi majina yao yote yalikuwa published kwa umma cha ajabu Kiasi cha fedha kilichobaki kati ya bilioni 350 na ushei zilizokwapuliwa mpaka leo hatujawahi kujuwa walilipwa wakina nani.

Naomba mnisaidie wakuu kwa mwenye kujuwa je Fedha hizo zililipwa wakina nani? Si vibaya kufahamu hata kama hazikuwa fedha za Umma.

Naomba kuwasilisha.
tuambie kwanza maana ya escrow account, tujue tukusaidie kuanzia wapi? unajua mhadhiri akiingia darasani muda mwingine huanza na quiz ili ajue kiwango cha uelewa wa wanafunzi anaotaka kuwafundisha.
 
Back
Top Bottom