Fedha za chenji ya rada kutumika shuleni

MED Org

Member
Mar 24, 2011
8
0
Serikali imesema kuendelea kuwepo kwa udanganyifu wa mitihani kunatokana na kushuka kwa maadili ndani ya jamii ambapo walimu, wazazi na wasimamizi wa mitihani hufanya hivyo ili kusaidia upatikanaji wa alama za juu kwa watahiniwa. Je wana JF; hakuna namna ya kusaidiana kukabiliana na tatizo hili kwa sisi wenyewe?
 
MED inawashukuru sana wadau wote ambao kwa namna moja au nyingine mmekuwa mkishiriki kikamilifu kwenye JF kwa lengo la kuihabarisha na kuifikirisha jamii.

Nasi tumeingia humu hivyo ni martarajio yetu kuwa tutashirikiana sana katika kupashana habari na kubadilishana mawazo day to day.

Asanteni sana wadau.
 
Makaburi mengine yabidi yafukuliwe tu! Hizi pesa zililiwa na nani?
 
Back
Top Bottom