JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,187
Shida iko wapi, Huduma ya hosteli ni private. Gharama zake zitafuata maelekezo yanayozihusu shule binafsi.
Kama tunavojua kuwa hostel si program ya wizara au shule kwa wanafunzi wa kutwa.je,wazaz wataendelea kuwahudumia au srkl
"Ninaposema Bure, ni bure kweli"Zitaendeshwa kwa michango ya wazazi/ walezi.
Pia,kumbuka ada za mitihani ya drs la 4,7 na mitihani kidato cha 2 , 4 na 6. Wazazi watakamuliwa tu.