Dit000
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 714
- 1,075
naomba wanauchumi watuelekeze kama kutakuwa na makosa
1. Fedha zote zinatoka bank kuu(BOT) kabla ya kusambazwa kwa raia na bank zote zilizochini ya benki kuu
2. Bank kuu inatengeneza fedha za aina mbili ya kwanza ni virtual(isiyoshikika) na ya pili ni paper money
3. Kuna baadhi ya hizo fedha zinasambazwa kwenye mabank, na kuna zingine zinawafakia wananchi moja kwa moja
4. Shughuri tofauti tofauti ndizo zinazofanya fedha izunguke kutoka sehemu moja kwenda nyingine
5. Kadri fedha zinavyozunguka kuna zingine zitaharibika yaani kuchanika, na fedha zinazochanika bank kuu huzipigia hesabu na kuchapisha fedha zingine mpya ili kufidishia zilizopotea kwenye mzunguko
6. Wingi wa fedha unaochapishwa na bank kuu, unategemea goods and service za nchi ili kutozifanya ziwe nyingi mtaani au kuwa chache, zikiwa nyingi sana kuzidi shuguri za kiuchumi ni hatari na zikiwa chache sana napo ni hatari
7. Fedha zinapokuwa nyingi mtaani, maana yake zitashuka thamani how?, watu hawatajishugurisha na kazi ngumungumu kwa sababu wana fedha teali sasa watakachofanya ni kuzitumia sanaa, kadri wanavozitumia wanapunguza bidhaa mtaani hivyo kupelekea kupanda kwa bei kwa bidhaa kwa sababu kila mtoa huduma anajua unahela nyingi sasa hata akipandisha bei atajua utaweza kuimudu kwa sababu una hela nyingi na maisha kuwa magumu kwa wasio na hiyo fedha.
8. Nahisia, kati ya asilimia 100% ya fedha zote zinazotoka bank kuu asilimia 50% zinakuwa kwenye mabank, 30% zinawafikia matajiri na 20% ambazo ni paper money(za hardcopy) ndizo zinazunguka kwa wanyonge, yaani shuguri za kila siku ndogondogo , zinatusaidia kuchuma hizo asilimia 20% ya fedha ambazo ni hardcopy mfano kununua misosi migahawani, madukani,sokoni,vibarua vya kuingiza pesa ndogo kama tsh 5000,10000,15000 kwa siku zinafanya asilimia 20% ya hii fedha izunguke kutoka kwa mtu mmoja na kwenda kwa mtu mwingne
9. Fedha iliyokwenye mzunguko inapokutembelea, inafanya hivyo kwa sababu, ni kwamba inakuja kwa lengo la kutatua tatizo lako sawa na thamani ya hizo fedha, so kama wewe ni mlevi inatatua tatizo lako, kama wewe ni mzinzi itakupa mwanamke sawa na thamani ya fedha hiyo, ikishamaliza kutatua shida zako basi inahama inaenda kwa yule aliyetatua shida zako, na yeye itaangalia anashida gani hivyo nayeye itatatua shida yake na kwenda kwa mwingine sasa itakuwa inawatembelea raia mmja kwenda kwa mwingine , kumbe kama hauna hiyo pesa inabidi uangalie unaweza tatua shida ya nani mwenye pesa ili uichukue kutoka kwake na ije kwako hapo ndo pesa inavyozunguka mtaani ukitatua tatizo kubwa ndivyo wingi wa fedha utakavyokutembelea.
JE UNAFANYAJE ILI UPATE FEDHA?
fedha inapokuwa kwenye mzunguko na ikatokea mfano imekufikia(imekutembelea) wewe mfano tsh 500,000/= sasa watu wanaokuzunguka wafanyeje ili wapate fedha yako??
jibu inabidi wabuni njia ya kukushawishi either uwape kazi wakufanyie au watatue shida yako na uwape fedha kulingana na thamani ya kazi waliyofanya au tatizo walilotatua kwako
kumbe unapofanya kazi inakuwa rahisi kuifanya fedha inayozunguka kwenye mifereji yake ikufikie na wewe
KWA NINI FEDHA NI NGUMU KAMA WATU WANAVYOSEMA?
kwa mawazo yangu nafikiria ni kwasabu wanajiusisha na shuguri ambazo zinawafanya wategemee kupata fedha iliyo hardcopy ambayo kwa uhalisia mtaani ni asilimia ndogo sana na wahitaji ni wengi
JE NIFANYAJE ILI NIINGIE KWENYE MIFEREJI MIKUBWA YA FEDHA??
inakubidi ubuni shuguri ambazo zitakufanya uingie kwenye mifereji ya fedha ya matajiri na mabanks ili utembelewe na fedha nyingi, kumbe kazi unayoifanya ndio inayoyokufanya uwe kwenye aina ipi ya mfereji wa fedha iliyokwenye mzunguko.
ni mawzo tu ndugu zangu najua humu kuna wataalamu wa uchumi watatusaidia kuelewa zaidi, nimekaa chini nimefikiria kwa nini pesa ni ngumu mtaani ? na kama hali ngumu je fedha zinazunguka vipi kufanya hali kuwa ngumu???