Dit000
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 714
- 1,075
- Thread starter
- #21
swali namba 3:1.BOT inatumia misingi ipi kusambaza pesa?
2.Pesa isiyoshikika ni ipi hiyo mkuu?
3.Pesa ikiwa nying mkuu si ndio kipimo cha utajiri kwa watu na itaboost production due to the existance of enough market (customers), iweje tena pesa ikiwa nyingi ilete uhaba . au sijaelewa mimi mkuu nieleweshe
Nina maswali meng ila nisaidie hayo kwanza mkuu
"survival of the fittest" chukulia nina maembe 105, nikawarushia nyani 20 sandakalawe ya machungwa, chukulia nyani 5 kati ya wote walibahatika kupata kila mmoja machungwa 5 na waliosalia walibahatika kupata machungwa 5.3, automatically waliopata machungwa 5.3, watesema leo ni siku ya neema, hivyo ndivyo ilivyo kwetu wewe ukibahatika ndani ya mwaka mzima kunyakuwa say 1billion kwenye mzunguko utasema mwaka huu kuna hela nyingi sana, kumbe hamna ni mazingira tu yametokea money supplied in circulation imekutembelea na wewe ndo kupelekea kusema mwaka huu ni waneema, kumbuka wengine hapo wanalia njaa inawezekana katika billioni yako , millioni 500 ilipaswa iwafikie raia 300 wenye njaa sema umewazidi maarifa ukachukua pesa ya watu 300 , ndo unakuja kusema pesa ni nyingi mtaani kumbe hamna kitu, pesa inabecontrolled haiwezi kuwa nyingi bila sababu