Wewe umepata kiasi gani?Hapa mbeya mjini kuna kitu kinaendelea, kiukweli kwa mtu mwenye upembuzi yakinifu, utajiuliza maswali mengi sana?
Mojawapo ni hili "Fedha hizi zinazotolewa kama maji mbeya mjini hasa makanisani, mitaani n.k n.k" kwa kutuma watu ama kuwepo yeye mwenyewe zinatoka wapi? na zimeidhinishwa na nani?
Ni wazi kuwa ni jambo jema kutoa michango kanisani, mitaani hata kuwasaidia watu, lakini hapa mbeya Miondombinu hasa barabara hovyo yumkini kuliko hata mkoa wowote nyanda za juu kusini. Lakini kwa watu waliopo mbeya wanaweza kuniprove right kuwa Madam Tulia amekuwa akimwaga pesa sana ama kwa yeye mwenyewe/kuwatuma watu.
SWALI: Anatoa wapi hizi pesa?
Kwa Mjomba. Anamalengo nae,kwani umesahau aliukosa "usipiki"kwa sababu hakuwa na jinbo?Hapa mbeya mjini kuna kitu kinaendelea, kiukweli kwa mtu mwenye upembuzi yakinifu, utajiuliza maswali mengi sana?
Mojawapo ni hili "Fedha hizi zinazotolewa kama maji mbeya mjini hasa makanisani, mitaani n.k n.k" kwa kutuma watu ama kuwepo yeye mwenyewe zinatoka wapi? na zimeidhinishwa na nani?
Ni wazi kuwa ni jambo jema kutoa michango kanisani, mitaani hata kuwasaidia watu, lakini hapa mbeya Miondombinu hasa barabara hovyo yumkini kuliko hata mkoa wowote nyanda za juu kusini. Lakini kwa watu waliopo mbeya wanaweza kuniprove right kuwa Madam Tulia amekuwa akimwaga pesa sana ama kwa yeye mwenyewe/kuwatuma watu.
SWALI: Anatoa wapi hizi pesa?
Hakika umenena, Barabara kuu ya mbeya inashida sana sana lakini sioni jitihada za serikali zikionyesha kuirekebisha zaidi sana ni umwagaji wa pesa za wanainchi.Anajisumbua huyo mama,mimi ni member wa friends of Tulia Rungwe,analitaka sana hilo jimbo lakini ajue Mbeya haijawahi chagua hela dhidi ya mtu. Naibu spika mzima kipenzi cha watawala anashindwa kushawishi hata barabara kuu ya jiji la Mbeya itanuliwe kupunguza foleni amekalia kugawa hela. TUNAMSHUKURU KWA HELA,LAKINI AJUE MBEYA HAICHAGULIWI HELA.
Unauliza kwani wewe hujui kuwa mwana mama huyu ni naibu Spika wa Bunge letu tukufu akiwa mwanachama wa chama cha mapinduzi na mbunge wa kuteuliwa halafu unauliza maswali ya kichonganishi.Hapa mbeya mjini kuna kitu kinaendelea, kiukweli kwa mtu mwenye upembuzi yakinifu, utajiuliza maswali mengi sana?
Mojawapo ni hili "Fedha hizi zinazotolewa kama maji mbeya mjini hasa makanisani, mitaani n.k n.k" kwa kutuma watu ama kuwepo yeye mwenyewe zinatoka wapi? na zimeidhinishwa na nani?
Ni wazi kuwa ni jambo jema kutoa michango kanisani, mitaani hata kuwasaidia watu, lakini hapa mbeya Miondombinu hasa barabara hovyo yumkini kuliko hata mkoa wowote nyanda za juu kusini. Lakini kwa watu waliopo mbeya wanaweza kuniprove right kuwa Madam Tulia amekuwa akimwaga pesa sana ama kwa yeye mwenyewe/kuwatuma watu.
SWALI: Anatoa wapi hizi pesa?
Inasikitisha...Unauliza kwani wewe hujui kuwa mwana mama huyu ni naibu Spika wa Bunge letu tukufu akiwa mwanachama wa chama cha mapinduzi na mbunge wa kuteuliwa halafu unauliza maswali ya kichonganishi.
Enzi za chama kushika hatamu zimerejea. "Party Supremacy" teh, teh, teh!
Sent using Jamii Forums mobile app
1.5trHapa mbeya mjini kuna kitu kinaendelea, kiukweli kwa mtu mwenye upembuzi yakinifu, utajiuliza maswali mengi sana?
Mojawapo ni hili "Fedha hizi zinazotolewa kama maji mbeya mjini hasa makanisani, mitaani n.k n.k" kwa kutuma watu ama kuwepo yeye mwenyewe zinatoka wapi? na zimeidhinishwa na nani?
Ni wazi kuwa ni jambo jema kutoa michango kanisani, mitaani hata kuwasaidia watu, lakini hapa mbeya Miondombinu hasa barabara hovyo yumkini kuliko hata mkoa wowote nyanda za juu kusini. Lakini kwa watu waliopo mbeya wanaweza kuniprove right kuwa Madam Tulia amekuwa akimwaga pesa sana ama kwa yeye mwenyewe/kuwatuma watu.
SWALI: Anatoa wapi hizi pesa?
Huyo mbunge sugu ana pesa na yeye si apanue hiyo barabara kakalia kujenga hoteli hizo hela za hotel si apanue hiyo barabara ili kupunguza foleniAnajisumbua huyo mama,mimi ni member wa friends of Tulia Rungwe,analitaka sana hilo jimbo lakini ajue Mbeya haijawahi chagua hela dhidi ya mtu. Naibu spika mzima kipenzi cha watawala anashindwa kushawishi hata barabara kuu ya jiji la Mbeya itanuliwe kupunguza foleni amekalia kugawa hela. TUNAMSHUKURU KWA HELA,LAKINI AJUE MBEYA HAICHAGULIWI HELA.
huyu naye kazikulegeza mtindi na kukazwa na kila mtu barabaara ya tanroad ajenge mbunge tulia aanaweza kumshawishi mpenziwe aliyempa ubnge kwwenda kuwa spika akatoa kwenye vote 20 kati ya trillioni 2.4. zikajenga barabara kuu toka songwe hadi mlima nyoka na kupunguza ajali za mara kwa mara barabara ipo ka mferejiHuyo mbunge sugu ana pesa na yeye si apanue hiyo barabara kakalia kujenga hoteli hizo hela za hotel si apanue hiyo barabara ili kupunguza foleni
Alikua naibu mwanasheria mkuu wa serikali, kipindi cha kukaribia uchaguzi mkuu 2015 'akaisimamia' ile kesi ya kusimama mitaa 200 baada ya kupiga kura serikali ikashinda mara paaaap kawa naibu spika.Jiulize, aliingiaje bungeni na kuwa naibu spika? Ukipata jibu utapata hela anatoa wapi?
(Hint: Mtoto wa dada ni paymaster general)
anatoa jiwe,zilainishe mioyo ya wana mbeya wampe jimbo tulia 2020 kwa kura za huruma au fadhira.Hapa mbeya mjini kuna kitu kinaendelea, kiukweli kwa mtu mwenye upembuzi yakinifu, utajiuliza maswali mengi sana?