Fedha anazomwaga Naibu Spika, Dr. Tulia wilaya ya Mbeya mjini anatoa wapi?

bmk

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
529
1,000
Hapa mbeya mjini kuna kitu kinaendelea, kiukweli kwa mtu mwenye upembuzi yakinifu, utajiuliza maswali mengi sana?

Mojawapo ni hili "Fedha hizi zinazotolewa kama maji mbeya mjini hasa makanisani, mitaani n.k n.k" kwa kutuma watu ama kuwepo yeye mwenyewe zinatoka wapi? na zimeidhinishwa na nani?

Ni wazi kuwa ni jambo jema kutoa michango kanisani, mitaani hata kuwasaidia watu, lakini hapa mbeya Miondombinu hasa barabara hovyo yumkini kuliko hata mkoa wowote nyanda za juu kusini. Lakini kwa watu waliopo mbeya wanaweza kuniprove right kuwa Madam Tulia amekuwa akimwaga pesa sana ama kwa yeye mwenyewe/kuwatuma watu.

SWALI: Anatoa wapi hizi pesa?
 
ILLUMINATI RUMI

Senior Member
Aug 21, 2018
156
250

Wewe umepata kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leonaldo

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
1,905
2,000

Kwa Mjomba. Anamalengo nae,kwani umesahau aliukosa "usipiki"kwa sababu hakuwa na jinbo?
 
Tua Ngoma

JF-Expert Member
Apr 14, 2015
2,379
2,000
Anajisumbua huyo mama,mimi ni member wa friends of Tulia Rungwe,analitaka sana hilo jimbo lakini ajue Mbeya haijawahi chagua hela dhidi ya mtu. Naibu spika mzima kipenzi cha watawala anashindwa kushawishi hata barabara kuu ya jiji la Mbeya itanuliwe kupunguza foleni amekalia kugawa hela. TUNAMSHUKURU KWA HELA,LAKINI AJUE MBEYA HAICHAGULIWI HELA.
 
Hakika umenena, Barabara kuu ya mbeya inashida sana sana lakini sioni jitihada za serikali zikionyesha kuirekebisha zaidi sana ni umwagaji wa pesa za wanainchi.

ina tia hasira sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kanabyule

JF-Expert Member
Dec 5, 2016
386
500
Hapa mbeya mjini kuna kitu kinaendelea, kiukweli kwa mtu mwenye upembuzi yakinifu, utajiuliza maswali mengi sana?

Mojawapo ni hili "Fedha hizi zinazotolewa kama maji mbeya mjini hasa makanisani, mitaani n.k n.k" kwa kutuma watu ama kuwepo yeye mwenyewe zinatoka wapi? na zimeidhinishwa na nani?

Ni wazi kuwa ni jambo jema kutoa michango kanisani, mitaani hata kuwasaidia watu, lakini hapa mbeya Miondombinu hasa barabara hovyo yumkini kuliko hata mkoa wowote nyanda za juu kusini. Lakini kwa watu waliopo mbeya wanaweza kuniprove right kuwa Madam Tulia amekuwa akimwaga pesa sana ama kwa yeye mwenyewe/kuwatuma watu.

SWALI: Anatoa wapi hizi pesa?
Unauliza kwani wewe hujui kuwa mwana mama huyu ni naibu Spika wa Bunge letu tukufu akiwa mwanachama wa chama cha mapinduzi na mbunge wa kuteuliwa halafu unauliza maswali ya kichonganishi.
Enzi za chama kushika hatamu zimerejea. "Party Supremacy" teh, teh, teh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,748
2,000
Hapa mbeya mjini kuna kitu kinaendelea, kiukweli kwa mtu mwenye upembuzi yakinifu, utajiuliza maswali mengi sana?

Mojawapo ni hili "Fedha hizi zinazotolewa kama maji mbeya mjini hasa makanisani, mitaani n.k n.k" kwa kutuma watu ama kuwepo yeye mwenyewe zinatoka wapi? na zimeidhinishwa na nani?

Ni wazi kuwa ni jambo jema kutoa michango kanisani, mitaani hata kuwasaidia watu, lakini hapa mbeya Miondombinu hasa barabara hovyo yumkini kuliko hata mkoa wowote nyanda za juu kusini. Lakini kwa watu waliopo mbeya wanaweza kuniprove right kuwa Madam Tulia amekuwa akimwaga pesa sana ama kwa yeye mwenyewe/kuwatuma watu.

SWALI: Anatoa wapi hizi pesa?
1.5tr
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
25,146
2,000
Anajisumbua huyo mama,mimi ni member wa friends of Tulia Rungwe,analitaka sana hilo jimbo lakini ajue Mbeya haijawahi chagua hela dhidi ya mtu. Naibu spika mzima kipenzi cha watawala anashindwa kushawishi hata barabara kuu ya jiji la Mbeya itanuliwe kupunguza foleni amekalia kugawa hela. TUNAMSHUKURU KWA HELA,LAKINI AJUE MBEYA HAICHAGULIWI HELA.
Huyo mbunge sugu ana pesa na yeye si apanue hiyo barabara kakalia kujenga hoteli hizo hela za hotel si apanue hiyo barabara ili kupunguza foleni
 
Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,746
2,000
Huyo mbunge sugu ana pesa na yeye si apanue hiyo barabara kakalia kujenga hoteli hizo hela za hotel si apanue hiyo barabara ili kupunguza foleni
huyu naye kazikulegeza mtindi na kukazwa na kila mtu barabaara ya tanroad ajenge mbunge tulia aanaweza kumshawishi mpenziwe aliyempa ubnge kwwenda kuwa spika akatoa kwenye vote 20 kati ya trillioni 2.4. zikajenga barabara kuu toka songwe hadi mlima nyoka na kupunguza ajali za mara kwa mara barabara ipo ka mfereji
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
26,693
2,000
Jiulize, aliingiaje bungeni na kuwa naibu spika? Ukipata jibu utapata hela anatoa wapi?
(Hint: Mtoto wa dada ni paymaster general)
Alikua naibu mwanasheria mkuu wa serikali, kipindi cha kukaribia uchaguzi mkuu 2015 'akaisimamia' ile kesi ya kusimama mitaa 200 baada ya kupiga kura serikali ikashinda mara paaaap kawa naibu spika.

Kweli sijawahi kuelewa kile cheo cha Naibu Spika alikipataje pataje na kama alikua member wa CCM.
 
Janken jr

JF-Expert Member
Sep 14, 2016
1,128
2,000
Hapa mbeya mjini kuna kitu kinaendelea, kiukweli kwa mtu mwenye upembuzi yakinifu, utajiuliza maswali mengi sana?

Mojawapo ni hili "Fedha hizi zinazotolewa kama maji mbeya mjini hasa makanisani, mitaani n.k n.k" kwa kutuma watu ama kuwepo yeye mwenyewe zinatoka wapi? na zimeidhinishwa na nani?

Ni wazi kuwa ni jambo jema kutoa michango kanisani, mitaani hata kuwasaidia watu, lakini hapa mbeya Miondombinu hasa barabara hovyo yumkini kuliko hata mkoa wowote nyanda za juu kusini. Lakini kwa watu waliopo mbeya wanaweza kuniprove right kuwa Madam Tulia amekuwa akimwaga pesa sana ama kwa yeye mwenyewe/kuwatuma watu.

SWALI: Anatoa wapi hizi pesa?
anatoa jiwe,zilainishe mioyo ya wana mbeya wampe jimbo tulia 2020 kwa kura za huruma au fadhira.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom