federal reserve bank

mak89

mak89

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2012
Messages
1,048
Points
2,000
mak89

mak89

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2012
1,048 2,000
Nimeona hapa ndipo mahala pekee pakuweka naweza pata habari za ndani kidogo,
Nimekuwa na maswali mengi sana bila jibu la uhakika
1. Hivi ni kwanini US hawana bank ya taifa kama B.O.T kwa hapa Tanzania?
2.Nani ni mmiliki wa federal reserve bank?
3.Nani anaye appoint kiongozi wa benki hiyo?
4.Je ni jitihada gani maraisi wa marekani wanafanya kuanzisha national bank?
5.Je kuna kuna uhusiano gani kati ya vifo ya maraisi wa marekani na hii federal reserve bank kama A.Lincoln na J.F. Kennedy?
6. Je global economic recession was it planted by federal reserve bank?
Wanabodi karibuni tujulishane, popote nitakapo kuwa nimekosea nirekebishwe na wasilisha.
 
Charles Mkubya

Charles Mkubya

Verified Member
Joined
Aug 27, 2009
Messages
197
Points
225
Charles Mkubya

Charles Mkubya

Verified Member
Joined Aug 27, 2009
197 225
Nimeona hapa ndipo mahala pekee pakuweka naweza pata habari za ndani kidogo,
Nimekuwa na maswali mengi sana bila jibu la uhakika
1. Hivi ni kwanini US hawana bank ya taifa kama B.O.T kwa hapa Tanzania?
2.Nani ni mmiliki wa federal reserve bank?
3.Nani anaye appoint kiongozi wa benki hiyo?
4.Je ni jitihada gani maraisi wa marekani wanafanya kuanzisha national bank?
5.Je kuna kuna uhusiano gani kati ya vifo ya maraisi wa marekani na hii federal reserve bank kama A.Lincoln na J.F. Kennedy?
6. Je global economic recession was it planted by federal reserve bank?
Wanabodi karibuni tujulishane, popote nitakapo kuwa nimekosea nirekebishwe na wasilisha.
Mak89,
Nitakujibu kwa kadri ya uelewa wangu kuhusu Federal reserve bank then kama kuna mtu anaelewa zaidi atachangia pia:Nitaanza na swali la kwanza na pale nisipofahamu nitasema pia:
Kwanza nitoe angalizo kuwa kuna Federal Reserve Bank na Federal Reserve system.

  1. Kuna kitu wanaita Federal reserve system kwa US ambayo ni kama ilivyo BoT hapa kwetu. Federal reserve system inaundwa na federal reserve bank 12 zilizo katika majimbo tofauti nchini marekani ambayo kazi yake kubwa ni kuangalia mifumo ya kifedha na uchumi kwa ujumla kama ilivyo BoT.
  2. Federal Reserve Bank hizi 12 ambazo kwa pamoja zinaunda Federal reserve system zinafanya kazi kama agent wa serikali ya marekani, hivyo kwa haraka waweza kusema ziko chini ya serikali ya marekani.
  3. Kiongozi wa Federal reserve Bank anaitwa "president" anaeteuliwa na Board of Directors wa Bank hiyo ambao wao pia wanakuwa wameteliwa tofauti tofauti, mfano director 3 wanateuliwa na comercial banks za eneo husika, wengine na Board of Governors wanaounda ile Federal Reserve system ambayo ni muungano wa federal bank 12. Sasa kiongozi wa wote (Federal reserve system) anateuliwa na rais wa marekani kutoka katika wale board of governors 7 anaokua amewateua ila lazima senate ipitishe uteuzi huo. vivyo hivyo na vice chair. Hivyo Federal reserve system inaongozwa na chairperson na vice wanaokuwa wameteuliwa na rais wa marekani waongoze kwa miaka 4. kwa sasa inaongozwa na Ben Bernanke toka 2006. aliongezwa muda alipoingia Obama madarakani.
  4. hilo siwezi kujibu!!!!!!
  5. hili pia siwezi kujibu, sina uelewa wowote katika hili.
  6. Inasadikiwa kuna mkono wa Israel katika kuanzisha bank hii na inakuja kuunganishwa na ajali ya meli ya TITANIC pia ikimuhusisha Capt Smith mtu ambae alikua na experience ya zaidi ya miaka 20 katika bahari ile asijue kulikua na icebergs!!!!! kuna mambo mengi yanaongewa lakini hakuna ushahidi wa moja kwa moja. Federal Reserve system ilikuja kutatua hilo tatizo la recession lililokuwepo kwa miaka hiyo ya 1913.
Hayo machache ndio nina ufahamu nayo, sijui kama nitakua nimeeleweka kwa mtoa mada.
 
Forum statistics

Threads 1,294,406
Members 497,915
Posts 31,174,948
Top