Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 432
Idara ya BBC Africa Eye imetangaza kuja na uchunguzi mpya maalum unaoitwa “STATE OF FEAR” unaohusu matukio ya kikatili na mauaji yaliyotokea mwaka jana october 29, 2025 nchini Tanzania wakati wa uchaguzi mkuu. Kupitia taarifa iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, BBC Africa Eye imesema uchunguzi huo utaanza kurushwa Jumatatu ijayo. Taarifa hiyo imeambatana na kauli mbiu isemayo, “Nothing stays hidden forever” ikidokeza kufichuliwa kwa mambo yaliyokuwa yamefichwa.
Unadhani itakuaje? na italeta mabadiliko yoyote?
Unadhani itakuaje? na italeta mabadiliko yoyote?