PostGE2025 Februari 1, 2026, BBC kuja na uchunguzi mpya juu ya Mateso na mauaji ya Tanzania, kabla na wakati wa Uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Idara ya BBC Africa Eye imetangaza kuja na uchunguzi mpya maalum unaoitwa “STATE OF FEAR” unaohusu matukio ya kikatili na mauaji yaliyotokea mwaka jana october 29, 2025 nchini Tanzania wakati wa uchaguzi mkuu. Kupitia taarifa iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, BBC Africa Eye imesema uchunguzi huo utaanza kurushwa Jumatatu ijayo. Taarifa hiyo imeambatana na kauli mbiu isemayo, “Nothing stays hidden forever” ikidokeza kufichuliwa kwa mambo yaliyokuwa yamefichwa.

Unadhani itakuaje? na italeta mabadiliko yoyote?
View attachment 3536627
Mmewakomalia hawa jamaa mwaka huu hawatoboi
 
Sawa, wanakaribishwa. Uzuri safari hii uchunguzi wao wataufanya kwa utulivu kabisa kwani wale waharibifu na majambazi yaliyokuwa yanapora Mali za watu na kuharibu miundombinu Ili watangazaji wa BBC washindwe kupitia wamedhibitiwa kisawasawa.
 
Idara ya BBC Africa Eye imetangaza kuja na uchunguzi mpya maalum unaoitwa “STATE OF FEAR” unaohusu matukio ya kikatili na mauaji yaliyotokea mwaka jana october 29, 2025 nchini Tanzania wakati wa uchaguzi mkuu. Kupitia taarifa iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, BBC Africa Eye imesema uchunguzi huo utaanza kurushwa Jumatatu ijayo. Taarifa hiyo imeambatana na kauli mbiu isemayo, “Nothing stays hidden forever” ikidokeza kufichuliwa kwa mambo yaliyokuwa yamefichwa.

Unadhani itakuaje? na italeta mabadiliko yoyote?
View attachment 3536627
Waswahili walisema, la kuvunda halina ubani.
 
Back
Top Bottom