Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,913
- 133,926
Itengwe tena bilioni 2 kuihonga BBC
Maskini hauelewi hata makala zinavyotengenezwa. Kwanza, ni nani kakudanganya kuwa sasa hivi waandishi wa habari wa nje wanaruhusiwa kuja kufanya uchunguzi wao kuhusu MO29?Sawa, wanakaribishwa. Uzuri safari hii uchunguzi wao wataufanya kwa utulivu kabisa kwani wale waharibifu na majambazi yaliyokuwa yanapora Mali za watu na kuharibu miundombinu Ili watangazaji wa BBC washindwe kupitia wamedhibitiwa kisawasawa.
Jina la hii movie ni balaa zitoNothing stays hidden forever
Wasafishaji wanapiga pesa sana kipindi hiki. Sijui na mimi nianzishe ka kampuni kangu ka mchongo nipige pesa kabla ya hili anguko lao linalokuja?Zile pesa za kusafishwa zimepotea bure kila kukicha mambo yanaibuka upya
ni mwendo wa ngiri mkia juuMmewakomalia hawa jamaa mwaka huu hawatoboi
Mtaandaa tena mawaziri wengine waende Vatican kwa ajili ya maombi?Sawa, wanakaribishwa. Uzuri safari hii uchunguzi wao wataufanya kwa utulivu kabisa kwani wale waharibifu na majambazi yaliyokuwa yanapora Mali za watu na kuharibu miundombinu Ili watangazaji wa BBC washindwe kupitia wamedhibitiwa kisawasawa.
Unyakuo uko palepale. Ni lazima wawajibike huwezi kuua halafu ufukie, ujikaushe😭😭Idara ya BBC Africa Eye imetangaza kuja na uchunguzi mpya maalum unaoitwa “STATE OF FEAR” unaohusu matukio ya kikatili na mauaji yaliyotokea mwaka jana october 29, 2025 nchini Tanzania wakati wa uchaguzi mkuu. Kupitia taarifa iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, BBC Africa Eye imesema uchunguzi huo utaanza kurushwa Jumatatu ijayo. Taarifa hiyo imeambatana na kauli mbiu isemayo, “Nothing stays hidden forever” ikidokeza kufichuliwa kwa mambo yaliyokuwa yamefichwa.View attachment 3536627
Unadhani itakuaje? na italeta mabadiliko yoyote?
Mwenzio alipaniki akawauliza who are you sasa hivi anahaha hadi kwa Papa. Kukujibu swali lako. Wanafanya uchunguzi kama mabeberu wanaotujengea hadi matundu ya vyoo.Huo uchunguzi wanaufanya kama nani??
Serikali gani? Hii ambayo mawaziri wamebebana kama mifugo kwenda Vatican kuomba papa aiombee nchi?SERIKALI ICHUKUE HATUA KAMA TRUMP
Kwani wewe huamini maombi ya papa?Serikali gani? Hii ambayo mawaziri wamebebana kama mifugo kwenda Vatican kuomba papa aiombee nchi?
Hakuna maombi kama hujafanya toba, kamuulize kombo na kabudi walifanya toba?Kwani wewe huamini maombi ya papa?
Wewe umekuwa Mungu,?Hakuna maombi kama hujafanya toba, kamuulize kombo na kabudi walifanya toba?
Mimi sijawatuma waende huko kuomba msamaha, muulize samuyaWewe umekuwa Mungu,?
kwahio umekaa ukawaza ukahisi kuna watu duniani wamekaa wanasubiria kuskia taarifa za bongo na hawana ishue zingine za kufanya sio 🤣Safi kabisa , ukweli ujulikane na dunia ifahamu nyang'au wa kizimkazi na uchafu wake.
Kuna njia nyingi za kuipata hio clipWanaolipia ving'amuzi inabidi wajiandae kufungua kesi nzito ya madai kama hilo litatokea. Nyakati za kuchekeana zimekwisha.