mauaji ya oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia ameshauriana na kupata ruhusu kwa nani kutuletea wageni eti kuja kuchunguza mauaji ya Oktoba 29, 2025?

    Kwa wanaojua uchafu wa CCM na mwenyekiti wake, waliomuona rais Samia akitangaza kuundwa kwa jopo litakaloongozwa na majaji wawili mmoja toka Namibia na mwingine Uganda, atakuwa ameshangaa na kuhuzunika namna watawala wetu wasivyo na busara. Je, Samia amekubaliana na nani na kupata idhini ya...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Godfrey Polepole awataja wahusika wa mauaji ya Oktoba 29. Ashauri Serikali isimalize pesa kwenye Tume ya Jaji Lila

    Ujumbe huu hapa👇 Nukuu ya alichokisema Godfrey Polepole "Ningependa kusema mamlaka za Tanzania zimuachilie huru Balozi Humphrey Polepole. Hilo ni la kwanza. La pili, nataka kumwambia Mama Samia Suluhu Hassan, Mama Samia usipoteze pesa ambazo ni kodi za Watanzania kwa ajili ya kuwalipa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchungaji Msigwa: Mauaji ya Oktoba 29 ni ya kihistoria, kuna maiti hazijaonekani, kuna maiti hazikuzikwa

    "Katika nchi yetu mauaji haya ya nini, ni ya kihistoria. Hatujawahi kupata shida kama hii. Ni mauaji makubwa, makubwa sana. Haya mauaji yaliyotokea ni makubwa sana, kuna maiti hazionekani, kuna maiti hazikuzikwa, kuna watu wengine walienda Mochwari wakiwa hai, kuna mambo ya ajabu ya hovyo...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mjiulize swali la msingi. Kama Mch Msigwa angesginda uchaguzi kupitia CCM angejiuzulu ubunge sababu ya mauaji ya Oktoba 29?

    Anadai sababu kubwa ya yeye kurudi CHADEMA ni kwa sababu mauaji yalifanyika tar 29 mwezi wa kumi mwaka 2025. Je, kama CCM ingempitisha kuwa mgombea wao wa ubunge na kisha akawa mbunge angejiuzulu au angekataa kuapishwa kuwa Mbunge? Wajinga ndio...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hatimaye CHADEMA yaanza kuwapandisha Majukwaani Waathirika wa Mauaji ya Oktoba 29 !!.

    Sasa Mwana JF ,tusaidiane kusambaza Video kama Hizi kwenye Mitandao ya kijamii Mbalimbaliii https://youtu.be/W70vVrOQhFw?is=pL1TLi3gTeXz1ZpV
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Ponda: Tume ya Jaji Chande ilipaswa iseme mauaji ya Oktoba 29 yalikuwa halali au ya jinai

    Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM amesema Tume ya Jaji Chande ilipaswa kuweka wazi iwapo mauaji yaliyotokea Oktoba 29 yalikuwa halali au ya jinai, pamoja na kueleza sababu zilizochangia kutokea kwa maandamano na kusababisha uvunjifu wa amani nchini. “Jaji...
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ujerumani ahoji bungeni mauaji ya Oktoba 29 Tanzania na kesi ya Lissu

    Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliyosema inakiuka...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya LHRC yarejea mauaji ya Oktoba 29, yayaita kipindi cha giza

    Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2025 kikiyataja mauaji ya Oktoba 29, 2025 kuwa kipindi cha giza katika ulinzi wa haki za binadamu Tanzania. Mauaji hayo yalifanyika baada ya maandamano kuzuka katika mikoa mbalimbali nchini...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu kamuwahi huyu Mgambo, ila angemuacha angesema Kuhusu mauaji ya Oktoba 29

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Machi 9, 2026 alizungumza na Wananchi wa Namanyere, Mkoani Rukwa. ========== Huyu mgambo kuna kitu alitaka kusema Mwigulu akamuwahi kwa kumuuliza kiasi cha pesa anachodai ili kuepusha dhahama, nadhani angemuacha dakika moja tu angesema walitumwa kuua watu...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Baada ya mauaji ya Oktoba 29, mbona Rais Samia anazidi kuchukiwa pamoja na jitihada za kisiasa kuonesha yupo karibu na Wananchi?

    Kila kada wa CCM sasa hivi utamsikia anajifanya yupo karibu na vijana hasa majenzii. Hii ni suluhu ya rais Samia kujubalika kwa Watanzania? Huku kuna kovu kubwa hasa kuuliwa kwa raia ambao hata hawakuwa karibu na siasa , wengine walikuutwa wakiangalia mpira kwenye vijiwe vya kahawa. Shootong...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani: Kama Jumuiya za Kimataifa zingesimama na viongozi wa kidini na upinzani, mauaji ya Oktoba 29 yangeweza kuzuiwa

    Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Marekani, Chris Smith, amekemea vikali vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu na mateso dhidi ya waumini wa dini mbalimbali duniani. Katika hotuba yake, Smith ameorodhesha nchi zinazokandamiza uhuru wa kidini kuwa ni China, Urusi, Nikaragua...
  12. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Februari 1, 2026, BBC kuja na uchunguzi mpya juu ya Mateso na mauaji ya Tanzania, kabla na wakati wa Uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

    Idara ya BBC Africa Eye imetangaza kuja na uchunguzi mpya maalum unaoitwa “STATE OF FEAR” unaohusu matukio ya kikatili na mauaji yaliyotokea mwaka jana october 29, 2025 nchini Tanzania wakati wa uchaguzi mkuu. Kupitia taarifa iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, BBC Africa Eye imesema...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kihongosi acha siasa za kishamba walio umiza wananchi ni polisi walitumwa na Samia tuache siasa kwenye vitu vizito kama vya uhai wa watu

    Kihongosi acha siasa za kimalaya walio umiza wananchi ni polisi walitumwa na samia tuache siasa za umalaya kwenye vitu vizito kama vya uhai wa watu. Watu kama hawa ni wapumbavu sana unatafutaje hela kwa kushabikia mauwaji ya watanzania wenzako tukivuka hapa hawa wapuuzi wataona moto sisi wote...
  14. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 DW yathibitisha aina ya Risasi zilizotumika kwenye mauaji ya Oktoba 29, 2025 zilikuwa ni za Polisi na Jeshi la Tanzania

    https://www.youtube.com/watch?v=-ZZrAoiAmqc Uchunguzi wa DW umebaini ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vilitumia nguvu za kikatili dhidi ya raia wakati wa vurugu zilizofuata uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania. Maandamano yalizuka katika miji mikubwa ikiwemo Mwanza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamanda wa Janjaweed ahukumiwa jela miaka 20 na ICC.Je, walioua watu oktoba 29 watapona?

    👇
Back
Top Bottom