Features za kuvutia kwenye simu za Xiaomi

Umesahau features ya ukiwasha tochi kuzima una bonyeza power button Tu pia, pia data sio lazima uzime ikiwa unatumia itajiwasha na usipotumia itazijima, vile vile Sim nyingi za xiaomi zina infrared kukuwezesha kutumia kama remote. Second space Ndio mzigo mtamu hasa km simu yako hushikwa shikwa ukiwa kwenye xiaomi hilo wamezingatia unaweka vitu vyako tofauti na first second unatumia application tofaut Na second space yaan haziingiliani Hata msg iingie first second wakati huo wewe upo second itakujulisha tu ujumbe umeingia na huwezi kuingia mpaka uweke password yake
Hii first and second space naipataje?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hii first and second space naipataje?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hii kitu nzuri sana.
Screenshot_2023-03-25-19-06-29-308_com.miui.securitycore.jpg
 
Wadau ntapata wap battery original za redmi note 8 , nilinunua moja juzi kat kariakoo halinA ata siku tatu linazima likifika 30%
Hiyo ni changamoto kubwa boss, nami pia niliulizia kule telegram kuhusu upatikanaji wa battery ya redmi note 7 pro but sijapewa jibu hadi leo, nilimcheck hadi mhindi wa HIGH-LIFE akasema hawana niende kariakoo tu.
Tatizo battery za kariakoo haziaminiki, aliexpress wao hawatumi battery na nilishajaribu miaka 2 iliyopita nikafeli.
Kuna seller kasema ana namna ya kuship so nimejiripua kwake nione kama itafika .
 
Hiyo ni changamoto kubwa boss, nami pia niliulizia kule telegram kuhusu upatikanaji wa battery ya hiyo simu but sijapewa jibu hadi leo, nilimcheck hadi mhindi wa HIGH-LIFE akasema hawana niende kariakoo tu.
Tatizo battery za kariakoo haziaminiki, aliexpress wao hawatumi battery na nilishajaribu miaka 2 iliyopita nikafeli.
Kuna seller kasema ana namna ya kuship so nimejiripua kwake nione kama itafika .
Agiza AliExpress mbona wanatuma tu vizuri. Sema hizi simu sasa hivi kuna feature wameanza kuzitoa. Kuna moja ya kuhide picture na video. Tamu sana. Sijajua itaendelea kuwepo au itakuwa kwenye simu za zamani tu. Yangu Mi 11 lite 5g.
Screenshot_2023-03-27-12-01-12-097_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
 
Agiza AliExpress mbona wanatuma tu vizuri. Sema hizi simu sasa hivi kuna feature wameanza kuzitoa. Kuna moja ya kuhide picture na video. Tamu sana. Sijajua itaendelea kuwepo au itakuwa kwenye simu za zamani tu. Yangu Mi 11 lite 5g.View attachment 2567438
Kuagiza battery tupu aliexpress ni kipengele maana nilishawahi agiza zaidi ya mara 3 mwaka juzi nikaishia kupewa refund.
Juzi kuna seller alinihakikishia atafikisha maana kuna ujanja anafanya kukwepa vizuizi ila leo siku ya 3 hajaship mzigo bado
 
Mkuu nikiagiza simu Aliexpress, inachukua muda gani kufika Bongo?

Approximately ni mwezi mmoja, Pia ingia kwenye hiyo thread kwenye post za mwisho mwisho kuanzia post namba 41 na kuendelea, labda kuna kitu kitakusaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom