daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,342
- 3,231
Camera ya simu yenyewe ni nzuri kuliko gcam. Mi niliweka nikaamua kuitoa tu, hata kwa Samsung ni hivyoWeka Gcam
Camera ya simu yenyewe ni nzuri kuliko gcam. Mi niliweka nikaamua kuitoa tu, hata kwa Samsung ni hivyoWeka Gcam
Xiaomi 12Hakuna hata Xiaomi ya maana below 6.1 inch...
Yes, search humuhumu JF kuna thread inahusu kuagiza simu AliExpress, eBay na Amazon.
Watu waliowahi kununua wapo humuhumu jukwaani.
Hizo simu hazifai hata kulinganishwa, hiyo samsung ni midrange na hiyo redme ni low end, go for samsungUshauri
Samsung Galaxy A51 vs redmi 10c
Ikumbukwe A51 ni model ya 2019
Nimeona kioo Cha redmi Ni kikubwa Ila IPS LCD na Samsung Ni Ni super AMOLED
Processor 10nm vs 6nm ya redmi
Redmi 10C Ina chipset yenye nguvu kuliko Galaxy A51 pia ina more recent OS otherwise kila sehemu imepitwaUshauri
Samsung Galaxy A51 vs redmi 10c
Ikumbukwe A51 ni model ya 2019
Nimeona kioo Cha redmi Ni kikubwa Ila IPS LCD na Samsung Ni Ni super AMOLED
Processor 10nm vs 6nm ya redmi
Hao jamaa unawashabikia ila hawana maajabu, kama Huawei asingewekewa vikwazo basi wangekuwa bado wame stuck wanajulikana huko china tu, hawana maajabuSio Redme, ni Redmi
Sawa mkuuHao jamaa unawashabikia ila hawana maajabu, kama Huawei asingewekewa vikwazo basi wangekuwa bado wame stuck wanajulikana huko china tu, hawana maajabu


10c Ni low end?Hizo simu hazifai hata kulinganishwa, hiyo samsung ni midrange na hiyo redme ni low end, go for samsung
Battery? Simu imekaa muda mrefu store. Ni wazi A51 inaeza sumbuaRedmi 10C Ina chipset yenye nguvu kuliko Galaxy A51 pia ina more recent OS otherwise kila sehemu imepitwa
Kiufupi chukua Samsung Galaxy A51. Ina advantages nyingi sana kuliko Redmi 10C kuanzia display, camera, speakers na kila kitu kasoro chipset sanasana.
Hizi simu sio level sawa, A51 ipo juu hilo halina mjadala.
Kwa 330,000/= kama utaamua kununua simu recent mpya basi Redmi 10C haina mpinzaniBattery? Simu imekaa muda mrefu store. Ni wazi A51 inaeza sumbua
Na vp thamani ya pesa ikumbukwe redmi Ni 330k mpya
Yaani 6.2" unaita portable?Xiaomi 12
6.2" Ka simu portable sana
Nilikuta watu wanalalamika kuwa Xiaomi 12 ni ndogo sana kwa hiyo watajichanga walau wanunue Xiaomi 13Yaani 6.2" unaita portable?
Hebu tafuta mtu mwenye iphone 12 mini au 13 mini au pixel 4 au 4a... Atleast hawa wakiongea kuhusu portability nawaelewa.
I hate kwanini kila kampuni inakimbilia kwenye masimu makubwa.
Natumia 6.4" tena full screen naana ina pop up camera ila naona ni lisimu likubwa sana.
Inaweza ikawa 6.4" screen but simu ikawa na urefu wa 160 mm, hiyo ni size kubwa sana.Yaani 6.2" unaita portable?
Hebu tafuta mtu mwenye iphone 12 mini au 13 mini au pixel 4 au 4a... Atleast hawa wakiongea kuhusu portability nawaelewa.
I hate kwanini kila kampuni inakimbilia kwenye masimu makubwa.
Natumia 6.4" tena full screen naana ina pop up camera ila naona ni lisimu likubwa sana.
Option zilikuwa hizo mbiliKwa 330,000/= kama utaamua kununua simu recent mpya basi Redmi 10C haina mpinzani
Lakini kama umekuta inauzwa bei sawa na A51 mpya zote full box, then chukua Galaxy A51
Utachukua Redmi 10C ikiwa tu unaangalia uwezo wa simu, recent OS na ukaaji wa chaji basi. Redmi 10C ya 4GB RAM ina uwezo mkubwa takribani mara mbili ya Galaxy A51 yenye 4GB RAM.
Otherwise A51 ipo juu kwenye display, camera, speakers,n.k, labda ununue Redmi ambazo zipo level moja na Galaxy A51
Yes Redmi 10C ipo faster than Galaxy A23 licha ya kutumia chipset sawa kwa sababu software ya Redmi 10C ni light kuliko ya Galaxy A23Option zilikuwa hizo mbili
Nimekuta A51 nyingne clean as new
Je tuki compare A23,A33 na 10c hapo vp zote zimetoka March last year
A23 Ina chipset sawa na 10c ila according to review za YouTube 10c iko fasta than A23
Me sio mpiga picha Sana ,, I mean hata camera ya Tecno F1 kwngu Ni nzuri SanaYes Redmi 10C ipo faster than Galaxy A23 licha ya kutumia chipset sawa kwa sababu software ya Redmi 10C ni light kuliko ya Galaxy A23
Lakini Samsung Galaxy A23 sio level moja na Redmi 10C bali ni level moja na Redmi Note 11 na simu zote zinatumia Snapdragon 680.
I mean, kwenye battery na peformance Redmi 10C anaweza kushindana na hizi simu za laki 5 lakini sehemu nyingine bado Redmi 10C ipo low ranked. Camera labda utumie GCAM kwa Redmi 10C kidogo itakuwa na afadhali lakini bado haiwezi kuwa Kali kama A23 au Redmi Note 11.
I mean Galaxy A23 ni better than Redmi 10C na Redmi Note 11 ni better than all.
Basi Redmi 10C itakufaaMe sio mpiga picha Sana ,, I mean hata camera ya Tecno F1 kwngu Ni nzuri Sana
Nimeambatanisha na picha za f1View attachment 2536850
NB: picha Ni camera ya kawaida haijasetiwa kitu chochote
Hivo nahisi camera sio kipaumbele changing
Battery Ni muhimu na performance
6.4" with no bezels bado.ni simu kubwa sana kwangu....Inaweza ikawa 6.4" screen but simu ikawa na urefu wa 160 mm, hiyo ni size kubwa sana.