Fe Lady- Yu wapi huyu dada jamani………!

Fe Lady- Yu wapi huyu dada jamani………!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,442
Ni muda sasa, sijaona post zake humu jamvini, kama yupo, basi atujuze kama ni mzima, au mwenye taarifa zake pia si vibaya akitufahamisha kama ni buheri wa afya……………………..
 
Ni muda sasa, sijaona post zake humu jamvini, kama yupo, basi atujuze kama ni mzima, au mwenye taarifa zake pia si vibaya akitufahamisha kama ni buheri wa afya..
Mbona yupo sana? Wewe ndie utakuwa umepotea, au mwapishana majukwaa!
 
Mbona yupo sana? Wewe ndie utakuwa umepotea, au mwapishana majukwaa!

Yawezekana maana nimelowea huku MMU na labda Chit Chat, ndio maana tunapishana. Awali nilidhani kazaliwa upya na kujibatiza kwa jina jipya kama Bebii................................. LOL
 
Back
Top Bottom