FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Uwe na akiba ya maneno
Barcelona 4 Juventus 0
Barca atafuzi tusubiri muda
MASHABIKI WAMENIFURAHISHA SAAAAANA VORCA BARCA
mkuu usituchawie lazma Juve wafe
Watu wako kimyaaa wanaangalia team ya dunia inacheza against the world


Ukiona Bata kanya magumu ujue mgonjwa huyo...
hah hah hah hah Nesi hajawahi kumfunga Buffon tokea azaliwe
 


Mbwembwe zoooooooote mwisho zimegeuka povu
 
vipi humu ndani naskia vijana jana mmeshindwa kumkojolesha bibi kizee
 
Barcelona midabwada. Hawa mashabiki wake wanachonga sana.
 
As a Barca fan, nilijua/na kuwaambia toka mwanzo kuwa msimu huu Barcelona tusitegemee chochote kwa sababu moja kubwa -Kocha hajui anachokifanya, hajui nini afanye wakati gani, kukomaa na watu wasiokuwa na uwezo sababu tu aliwasajili, na weekend hii akipanga kikosi cha kizembe, Madrid ni lazima waue
 


Would Messi and co. ever have found a way past that Juventus defence?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…