red brigade inawatisha si ulisikia kwenye kongamano la demokrasia(la wale makada wa ccm,nccr tlp,udp,cuf)kikwete alimwambia mrema kuwa vurugu zikizidi mrema atakimbilia kenya sasa mimi(kikwete) nitakimbila wapi? hapo tuna raisi au (masanja mkandamizaji?)
FBI wapo Arusha. Acheni kupotosha watu nyie. Hivi nyie Bavicha mbona wambea sana?
Tatizo wa kukizika CCM bado hajazaliwa.nDUGU KUBALI AU UKATAE, CCM INACHOSUBIRI NI KUZIKWA TU, LAKINI ILSHAKUFA TANGU 2010.
Agggh hizi nazo pumba kushinda zinazorekebishwa; ile ni sleng na iko poa tu utafikiri Obama anaongeaI'll take a liberty to make some corrections on your English.
''Neutral'' and ''objective'' mean the same thing. So ''objective'' in ''You always try as much as possible to be neutral and objective'' is just redundant.
Another thing: ''I consider this comment is more of a joke rather tha a serious allegation against BAVICHA'' should be correctly written as ''I consider this comment to be a joke rather than a serious allegation...''
Finally, your last sentence should have been worded: ''You have to provide a link to provide a proof for your allegations.'' More clearly: ''Can you provide a proof to support your allegations?''
I hope it does help.