makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,219
Nimeipenda hii habari. Thanks to the US Embassy for clarity!
Hii inaonkena RC Arusha na RPC wake walichomekea habari ya FBI ili kuwalaghai Watanzania kwamba Polisi hawahusiki! Tumesikia pia RC Mulongo(call him Muongo) akidai kuwa upelelezi wa awali wakihusisha hao FBI ati ulionyesha mipango ya Bomu la Soweto ilipangwa Arusha!!!!!!Pia tumnesikia kuhusu ujio wa Wachina kutambua hilo Bomu lao ati nani walimuuzia na lini? Zote hizi ni propaganda na longolongo za kutaka kuwazubaisha Watz na mwisho wa siku hakuna lolote wala chochote!!!Nji hii bana.......!!!!!!!!!!!
Huyu RC Arusha ni muongo kama jina lake! Sijiui nini kinamwasha mpaka awe msemaji wa Polisi ilhali hiyo ilikuwa ni kazi ya Chagonja ambaye mpaka sasa hajakamata hata nzi aliyekuwa akinusa damu ya marehemu na majeruhi.