Favourite yangu ni watu Gym watu walojazia na wadada wanaojielewa

Kuna walakini hapa. Maana msisitizo na mtiririko ulioweka katika kuchambua aina ya wanaume uwapendao ukilinganisha na wanawake inaleta ukakasi kidogo.

Nahisi hao wanawake umewaweka ili ku neutralize uzi tu watu wasikushambulie lakin dhumuni hasa la uzi huu ni kuhusu kutaka mabouncer ambao ni wanaume wenzio.

Maana ikiwa ni mwanaume hasa ulietimia, angalizo la nini kuhusu wanaume kuwa ni urafiki tu. Kuna kipi cha zaidi baina ya wanaume wawili mpaka uweke msisitizo wa ''urafiki'' tu.

Sikuvunjii heshima yako ila naandika hapa pasi na shaka kuwa bwana Visacard hakika wewe ni ATM na hao watu wa gym unawataka wawe ndio visacard kwako mithili ya jina lako.
Unisex huyo anapenda six pack
 
Guys mimi napendaga watu wa Gym yaan mtu uwe umejazia uwe na six pack mwili wa mazoezi ndo napendaga wawe marafiki zangu

Yaani mm mood yangu ipo kwa watu walojazia tu halaf uwe ni mtu na mishe mishe zako na sio marioo, maana unakuta mtu ni mkaka kajazia hatari halafu unakuta hana hela yaani hajishughulishi

Namaanisha wanaojituma na wenye maono hao ndo marafiki naotaka ndio chaguo langu mimi, sio unakuta unapiga gym unaomba hadi hela za vocha mimi mwenyewe siombi hela ya mtu kabisa nachukia umarioo sana

Kwa upande wa wanawake napenda wanawake neutral ambaye hana mambo mengi mwanamke awe anaelewa mambo mengi na asiwe limbukeni, mdada mwenyewe staha zake na msiri na sio mswahili sana age ni kuanzia 17 hadi 25 hizo ndo favourite zangu kwa upande wa wadada hata akitaka ndoa basi fresh

Ila mens ni marafiki tu nataka only for urafiki....Wanawake wao hata zaidi ya urafiki mnakaribishwa

Vigezo na masharti kuzingatiwa
eti unapenda walojazia!!!! na wewe nenda ukafanye mazoezi ujazie. Ukute jitu lenyewe zembe hata push up mbili huwezi.
 
Back
Top Bottom