Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

Ni kwa sababu hayajakukuta, kwa sababu ndugu yako hajatekwa au kupotezwa... au wewe mwenyewe sio muhanga..
Naichukia ccm na wote machawa Ila nakiogopa sana kifo hasa pale kinapomkuta mtu

wapo madogo wa mtaani waliuwawa lakini siwezi kumuombea mtu kifo

Namuombea mabaya yote yamkute Samia na watu wake ,lakini kifo nakiogopa
 
Huko Club House Ruge anadai Jamaa wamemtoa MARINDA. Shughuli ilifanyika kwenye kambi mojawapo ya JW....!! Mliro alikuwa MTAZAMAJI .... ndiyo maana kaMUTE siku hizi!!
Dah!
Basi huyu Ndugu wa Polepole ni mtu hatari sana..
Maana ile gang ya Mafwele nao ni njemba, isitoshe Fwele Boy muda wote kazungukwa na watu wa kazi, kama jamaa waliweza kumkamata.. au kumkaribia na kumdhuru kwa namna yeyote.. basi huyu Augustine inaelekea crew yake si ya mchezo....
 
Ngoja atoke aseme kilichomkuta
 
Aisee kweli maisha yanabadilika ,Leo wewe Etwege unafuatilia mpaka page ya Chadema blood??
Ndio maana mnaambiwa Kila siku jitahidini kuishi kwa haki, ukiwa Dunia hii usijivune Dunia inaweza kukufanya chochote muda wowote,
Now day tupe wote tunalia.
Huyo ni johnthebaptist mwenyewe.
 
Back
Top Bottom