Hajagongwa.Wamgonge tu wasimuuwe mtuhumiwa wao wa kila kitu!?..fake news
Huyo agustino amesema alichomfanya mafwele?Kwa kuwa wewe ni mwana taarabu unafikiri kila mtu yuko kama wewe?
Ebu niambie jamaa ilikuwaje maanaAisee kweli maisha yanabadilika ,Leo wewe Etwege unafuatilia mpaka page ya Chadema blood??
Ndio maana mnaambiwa Kila siku jitahidini kuishi kwa haki, ukiwa Dunia hii usijivune Dunia inaweza kukufanya chochote muda wowote,
Now day tupe wote tunalia.
Sasa auawe halafu aitajike kujitokeza aseme alichofanywa.!Kwamba limafwele limeuwawa?
Kasema na mdude yupo pale kataja na no ya nyumba kigamboni.Mafwele limemkuta jambo, naona Kanali Augustino Polepole anasema next target ni IGP wambura,halafu anasema kapita pale Kigamboni jana bado mdogowake yupo pale na wengine 8 wameshikiliwa pale
Ndio kasema na Mdude yupo hapo ngoja tuone yajayoKasema na mdude yupo pale.
Sasa hizi nazo kweli ni nyadhifa za kujivunia na kuwaeleza watu.Dunia ni sawa na gwaride nyuma geuka wa mbele anakuwa wa mwisho.
Makonda aliyeingia clouds na polisi wake amekuja kuwa waziri wa habari.
Kwani ni kazi ngumu kiasi gani kwako wewe mwenyewe kwenda kushuhudia; hujui ofosi za Mafwele zilipo?, au hata nyumbani kwake huwezi kwenda kumshuhudia huko ujiridhishe?Sasa huyo agustino nae Mbona kama analeta taarabu, mambo kwa ushahidi alete mambo
Ni kwa sababu hayajakukuta, kwa sababu ndugu yako hajatekwa au kupotezwa... au wewe mwenyewe sio muhanga..Kitu ambacho sifurahii ni mtu kuuwawa. Pamoja na yote aliyofanya mafwele bado sifurahii kusikia ameuwawa/ameuliwa. Furaha yangu ni endapo atakamatwa iwe ndani au nje ya nchi na kufungwa
Ukifurahia mafwele kuuwawa unakua huna tofauti na waliofurahia wale vijana wetu kuuliwa
Umejichanganya sana kiasi kwamba umeharibu kila kitu.Kitu ambacho sifurahii ni mtu kuuwawa. Pamoja na yote aliyofanya mafwele bado sifurahii kusikia ameuwawa/ameuliwa. Furaha yangu ni endapo atakamatwa iwe ndani au nje ya nchi na kufungwa
Ukifurahia mafwele kuuwawa unakua huna tofauti na waliofurahia wale vijana wetu kuuliwa
Kaka wa Humphrey Polepole anaiyeitwa Augustino Polepole amejirekodi na kutuma video inayomtaka ZCO Faustine Mafwele ajitokeze hadharani na kuwaeleza watanzania walichomfanya.
Ikumbukwe Faustine Mafwele ndiyo imekuwa mashine ya utekaji na mauaji kwenye utawala wa Rais Samia akitumika na Abdul mtoto wa Rais.
View: https://youtu.be/erEYfjnIs5E?si=1St2SusvFHX62tyr
Mlete Mafwele akanusheMkiitwa Matahira mnaanza kukasirika.
Nyie wapumbavu eti huyu Geoffrey ndo akawadanganya kuwa yeye ni mwanajeshi wa NATO na mkaamini.
Nyie wapumbavu na Matahira msio na akili mnaamini kila jambo.
NATO ina jeshi toka lini?
View attachment 3546600