Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 566
Huyu dada namkubali aliyasema haya siku nyingi pale Chanel ten TV anaitwa Fatuma Karume.
Moja ya kauli ninayoimbuka ni hii:
Niliamka asubuhi nikiwa najivunia Mzanzibari nikatoka kutimiza tendo la kidemokrasia la kuchagua kiongozi ninayemtaka ambayo ni haki yangu,Lakini Leo baada ya kupiga kura amani ya moyo imeondoka sijisikia tena kujivunia ule kuwa Mzanzibari kwanini?
Kwasababu kuna watu hawakufurahishwa na sauti za sanduku la kura! Mimi nauliza!
Kwanini sanduku la kura linaletwa mbele yetu!