Fatuma Karume kumfananisha Rais na kinyago ni sahihi?

Mtoa post ni mchochezi,hadi kwenye maneno ya wahenga unaleta chokochoko? U better shut up if u gotta nothn to say
 
Ubashite unakusumbua ww mleta mada,sifuri ya yako ya kwebye makaratasi unaiamishia kwenye kufikiri na utendaji
 

Jitu dhalili linalojiona jalili kama Magufuli, katika "mind games" za siasa za kuendesha nchi, ni rahisi sana kulichezea mchezo wa kulikasirisha likafura halafu katika kufura kwake, likaharibu kazi.

Ndiyo mchezo unaochezwa na Tundu Lissu pamoja na Fatma Karume hapa.
 
Sijui utakuwa mzuri kama comment zako
 
Ndiyo ni Kinyago tulichokichonga wenyewe wakati wa uchaguzi! Hakiwezi kututisha kwa sababu ni mali na kazi za kura zetu!!
 
Kwa mtazamo wangu naona sio kosa ule ni mfano ambayo hata kwenye mitaala yetu ya elimu bado tunaitumia kama vile mf: zimwi likujualo halikuli ukakwisha, Na kama ingekuwa ni mifano/methali mbaya zisinge wekwa kwenye mashule yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni namashaka na ubongo wako mnama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…