Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Pema usijapo pema, hata ukipema si pema tena..Ila kufananisha na tingatinga ni sawa?
Sawa sawa tu.. Mbona yeye kila aki simama jukwaani huwaga ana kashifu watu... Nendeni mka tandike hayo mabango ktk magodoro na wake zenu..
Sent using Jamii Forums mobile app
umesahau ishu ya muungano pia wazanzibar hawatamuelewa
Afu naona sasa kuna mambo mengine yanafanywa kumjazaa upepo mkulu mfano hili tu umejiuliza kwanin sasa fatma karume ameamua kumtetea lissu( japo najua ni kaz yake kama wakili ) na sio kibatala tena
Kuna mchezo unachezwa behind
The road to hell is paved with good intentions.kwa hiyo magu anajiandalia mapinduzi ya nguvu badala ya mapinduzi ya kisias bila kujua
Sijui utakuwa mzuri kama comment zakoLugha ya picha tu hiyo, don't get sore..
Ila wakili naona angestick kwenye technicalities za kesi zaidi, kama mahakama au polisi wamemuoneaje mteja wake.
mambo ya Magufuli aachane nayo, maana mambo yalivyo nae tutashangaa mkuu wa wilaya ameagiza kesho akamatwe kwa kumkashifu rais
Akizunguzma na waandishi wa wahabari mahakamani Kisutu, Fatuma Karume kasema kuna msemo wa kiswahili unaosema kuwa " kinyago ulichochonga mwenyewe hakitakiwi kukusumbua"
AKAENDELEA kusema kuwa Rais MAGUFULI sisi ndio tuliomchagua na kumuweka.
Kwa hiyo anamfananisha Rais na kinyago cha kuchonga kuwa wananchi ndio waliochonga hicho kinyago?
Huyu MZANZIBARI kwenye hicho alichoongea inabidi achukuliwe hatua sio sawa.
Ushahidi huo hapo