kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
- Thread starter
- #41
Wote waliokwenda tumeshuhudia sasa hao wa kimya kimya unawajua wewe!Umejuaje kama hajainda? Au ulitaka aje kupanga foleni kwako na kukuambia kuwa alienda?
Wote waliokwenda tumeshuhudia sasa hao wa kimya kimya unawajua wewe!Umejuaje kama hajainda? Au ulitaka aje kupanga foleni kwako na kukuambia kuwa alienda?
tungepata picha mwanahalisi na tanzania daima!umekaa hospitalini kumsubiri Fatuma Karume au umejuaje hajaenda??
tungepata picha mwanahalisi na tanzania daima!
ipo ya sumaye,lowassa akiwa na mtuhumiwa namba moja anaeumwa ugonjwa wa saikolojia!hebu weka hapa picha ya Kinana akiwa anamuuguza mgonjwa wake wa figo huko ugaibuni.
Mpaka leo hii kipindi ambacho lissu yupo hospital,mwanasheria wake ambae alijitolea mstari wa mbele katika kumtetea kwenye kesi zake hatujamsikia kutoa kauli yeyote na hata hospital jijini nairobi hajakanyaga,tunauliza tu nini kimemsibu mwanasheria huyu msomi nchini mwenye msimamo usioyumba katika kusimamia lile analoliamini katika vifungu vya sheria au shughuli zimembana mbona kimya!
Tujuzane alipo
Kila mmoja aliekwenda baada ya dakika tu tulipata taarifa haswa kwa watu wa kiki kama yeye si rahisi kimya kimya!Labda ameenda lakini hataki kutangaza, nawaza tuu hizi akili za usiku jamani.
Kila mmoja aliekwenda baada ya dakika tu tulipata taarifa haswa kwa watu wa kiki kama yeye si rahisi kimya kimya!
sijui unayataka yapi nikwambie!Yake yooote unayajua mkuu
ndo akomeUkimya wake umekuja baada ya ofisi yake kulipuliwa, jamaa walimwonjesha kidogo.
ndo akome
Kuna siku fulani akifa sijui atazikwa na nani maana hata mkewe ana ugomvi nae