Hilo ni suala la kijiografia, ukitaja jina TANZANIA akili yako inakuja RAMANI YA TANZANIA kwamaana ya Tanzania Bara mpaka akili yako i-load tena ndio itaongeza hivyo visiwa.Wazanzibari always wako proud kuitwa Wazanzibari, sijui kwanini sisi Watanganyika tukiitwa Watanganyika huwa tunakasirika na kuona kama tunabaguliwa?
Amesema ukweli mchungu sana.Hongera kwake kwa kuwa mkweli.Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo.
View: https://m.youtube.com/watch?v=upbVqLpdVmk
Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama wazanzibari katika muungano wa nchi mbili kisha inafuata uTanzania.
Lakini viongozi wa kutoka upande wa bara hasa hawa wa CCM na serikali yake wanaona haya na kulazimisha kuufuta utanganyika wa asili raia taifa lao Tanganyika.
Upande wa Zanzibar utambulisho ni Mzanzibari kwanza, halafu mbili kutoka Tanzania.
Hapo ndipo kunapotokea zogo lakini kiuhalisia huwezi kufuta uasili wa kitaifa wa mtu katika Muungano anasisitiza wakili Fatma Karume kwa viongozi wa CCM bara na walio katika serikali yake.
Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni wa nchi mbili Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
Jina la kwanza lilitambulika kama nchi ya Jamhuri za Tanganyika na ya Watu wa Zanzibar April 26, 1964.
Ilichukua miezi kadhaa baada ya muungano jina hilo la kwanza refu hadi kubadilishwa kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwezi Oktoba 1964
Historia ya nchi ya Tanganyika iliyopata uhuru mwezi December 1961 na nchi ya Zanzibar iliyopata uhuru wake mwaka 1963 mwezi December pamoja na vizazi vya nchi hizo vilivyofuatia haviwezi kufutwa na viongozi wachache wa CCM kwa kuwa utaifa ni asili.
Tanganyika lilikuwa shamba la watumwa 🐼Wazanzibari always wako proud kuitwa Wazanzibari, sijui kwanini sisi Watanganyika tukiitwa Watanganyika huwa tunakasirika na kuona kama tunabaguliwa?
Umeona eeh.Wazanzibari always wako proud kuitwa Wazanzibari, sijui kwanini sisi Watanganyika tukiitwa Watanganyika huwa tunakasirika na kuona kama tunabaguliwa?
Duh yaani koloni letu wakati mtawala wa Tanganyika kupitia koti la JMT ni Mzanzibar.WaTanganyika bado tunasafari ndefu.Zanzibar ndo hawajitambui ndo maana tumewafanya ni koloni letu
Kakojoe ukalale.Zanzibar ndo hawajitambui ndo maana tumewafanya ni koloni letu
HOTUBA NZITO YA WAZIRI MKUU WA NCHI HURU YA ZANZIBAR MBELE YA UMOJA WA MATAIFA MWAKA 1963
Mheshimiwa Mohamed Shamte Waziri mkuu wa nchi huru ya Zanzibar akihutubia Baraza la Umoja wa Mataifa mjini New York tarehe 16 December 1963 na kusisitiza hakuna nchi ndogo wala kubwa inapokuja suala la sovereignty na kujiamulia mambo yake yenyewe au kutoa misimamo yake mbele ya mataifa mengine ktk baraza la umoja wa mataifa UN
View: https://m.youtube.com/watch?v=sp2ZymUTKyMZanzibar Prime Minister at UN in December 1963 when Zanzibar accepted as member of the United Nation by the general council.
Wazanzibari always wako proud kuitwa Wazanzibari, sijui kwanini sisi Watanganyika tukiitwa Watanganyika huwa tunakasirika na kuona kama tunabaguliwa?
Hata humu ukiandika tuitetee Tanganyika post itafutwa haraka sana Wanzibar wamewabatiza WaTanganyika jina la wabara.Wazanzibari always wako proud kuitwa Wazanzibari, sijui kwanini sisi Watanganyika tukiitwa Watanganyika huwa tunakasirika na kuona kama tunabaguliwa?