Fatma Karume na Membe Hamuitendei Haki Jamii

Fatma Karume na Membe Hamuitendei Haki Jamii

UKWELI wasipomchukulia HATUA MUSIBA itakuwa ni kuichezea Mahakama na Wote Waliohusika mpaka HUKUMU IKATOLEWA huyu MUSIBA Lazima ATEKELEZE ADHABU aliyopewa ili iwe FUNDISHO kwa WAJINGA na WAPUMBAVU wa AINA yake.
Shangazi FATUMA na Mzee MEMBE kakazeni HUKUMU
MBELE ya Sheria mambo mengine Huwa ni magumu sana kuyaprove japokuwa yote yaliyokuwa yakisemwa na Msiba juu ya wote aliokuwa akiwatuhumu Yalikuwa na ukweli Kwa zaidi ya 90%.
 
unamsagia kunguni!

ila jamaa alizidisha kipimo,hivi alijikuta ni nani,mtoto wa Rais,Mkuu wa majeshi ama alijiona nani?.
kuna kipindi nikahisi labda ni afisa kipenyo.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ni sahihi shog@ musiba ashghulikiwe vikali otherwise 'vigilantes' tuchukue sheria mkononi tukamfanyizie
 
Awamu ya tano, kwa wote wenye akili ilikuwa shule tosha. Mafunzo yanaweza kufafanuliwa hata katika vitabu vitano, vyenye vicha vya habari mbalimbali:

1) Neno la manabii latimia, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.

2) Muda ni mwalimu mzuri, waliodanganya wakiri hadharani, 'madai dhidi ya Acacia hayakuwa ya kweli, ilikuwa mbinu ya kuwalazimisha Barrick waje mezani'

3) Njia ya mwongo ni fupi, Pesa tulipkuwa tunajengea miradi ya kimkakati ilikuwa ya mkopo, na siyo ya makusanyo yetu.
M
4) Dunia ni kijiji, usiposhirikiana na wenzako, utakuwa sawa na wanayama mwitu waishio msituni. Msemo wa JK wa ukiraka kula lazima na wewe ukubali kuliwa kiasi, "mahusiano mazuri kati ya Tanzania na Kenya yamesababisha mauzo ya Tanzania kuongezeka kwa kiwango cha kuzidi mauzo ya Kenya nchini Tanzania.

5) Kauli ya Rais wa awamu ya tano ya ZAENI, mimi nitawasomesha, yafanyiwa kazi na watanzania walio wengi. Sasa Tanzania ni kati ya nchi 5 Duniani ambazo wananchi wake wanazaliana kwa kasi kuliko nchi zote Duniani.
 
Musiba aitishe press conference atubu na kuwaomba wahanga wake wote msamaha.
Pia aseme nani alikuwa anamfadhili.
 
Musiba aitishe press conference atubu na kuwaomba wahanga wake wote msamaha.
Pia aseme nani alikuwa anamfadhili.
Hana ujasiri wa kuonekana hadharani tena amepauka na kuchoka kama choo cha magunia vile.
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana,hakika mjane umebaki mkiwa
Wewe wala hujui kinachoendelea nyamaza tu. Lissu alivyoanza kumtukana magufuli kwamba nchi hii haijawahi kua na rais wa ovyo kama yeye ulifikiri kamtukana yeye tu au wote tuliyomchagua kwa kura zetu? Na je hakukitukana chama cha ccm kilichomsimamisha kama mgombea?
Magufuli binafsi katukanwa sana na vikaragosi nyie wakati mwenyewe hajibu kitu na halali kwa kufikiria nini kingine afanye kwa nchi hii. Kama hujui ndio sababu ya wazalendo kama msiba kujilipua kumtetea au kujibu yale binafsi jpm alikua anafanyiwa wala hajibu.
Ingekua magufuli ni mtu wa hamaki na dikteta kama watu kama wewe mlivyomuita magereza yangefurika sio hii mnamuhesabia tena bila ushahidi ooh ben saanane ooh lissu kavunjwa mguu.
Pumbafu fisadi wahed nyie mliyomchukia na mnaomchukia jpm kwa kuinyosha nchi hii kutoka mikononi mwa wahuni.
Saa hizi mumechanganyikiwa baada ya kumsifia sana mama bado hamna uhakika kama ni mtu wenu au la.
Mtakoma tu.
 
Angalia kiumbe huyu! Ndio maana nasema kumuacha Musiba bila hatua kuchukuliwa ilihali ni hukumu halali ya mahakama ni makosa.
Watu wenye akili kama hizi wangejifunza.
Fatma na mzee Membe mnatuangusha, kazieni hukumu kieleweke
 
Mchungaji Msigwa aliomba radhi akasamehewa.Huyu baradhuli hajaomba radhi!
Na ni kuwa mchungaji Msigwa makosa yake yalikuwa kutoa taarifa potofu sio kama ya Msigwa.
Msigwa alitukana matusi mazito, alimfedhehesha kijinsia Fatma na kumvunjia utu wake na mambo kama hayo.
Musiba atekeleze hukumu au akate rufaa.
 
Back
Top Bottom