Semistocles
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,932
- 1,126
WENGINE WANAJISIFU HUMU KILA SIKU JINSI WANAVYOFAIDI TIGO ZA WAKE ZAO.Wanafiki wengi sana. Unakuta mtu anakgonga tigo ya mwanamke lkn hapa anakemea ushoga. Upuuzi mtupu
UMEELEZA HII KITU KITAALAMU SANA MKUU ...NA NI WACHACHE SANA WANAOWEZA KUKUELEWA.sasa binti kulala na babakr mzazi na ngono ya watu wawili gays ama lesbians vina mfanano upi!!!!,
gays ama lesbians wao ndivyo walivyo hawavutiwi wala hawapendi kuwa na mahusiano na watu wa jinsia tofauti, wanafall in love na watu wa jinsia moja na wao
hiyo haimaanishi kwamba wao ni watovu wa maadili kwelikwli
na haimaanishi kuwa wana malezi mabaya kwelikweli ama ni watu wabaya kwelikweli,
mbona wapo wengi tu na listi ,inatajwa sasa angalia uoya listi zitajazwo utaona kuna hadi watu wenye heshima zao kwenye jamii, ndio uelewe mtu kuwa gay ama lesbian hakuna uhusiano na ukosefu wa maadili
hata muuaji anapewa wakili na jamhuri amtetee na sometime huyo muuaji anakuwa anashinda kesiWewe ni moja ya wanawake wenye elimu nzuri. Mwanamke jasiri na mwenye uthubutu wa kuongea jambo lolote ukiliona halijakaa sawa. Elimu yako na sifa zingine lukuki ndizo zimekupa heshima kubwa kwenye jamii ya kitanzania.
Nafahamu wewe ni mwanasheria na una uelewa mpana kuhusu fani hiyo. Unajua kuwa sheria zipo kwa ajili ya kuifanya jamii iishi kwa amani bila kuvunjiana haki za watu. Lakini pia unaelewa kabisa zipo haki ambazo mtu huweza kuzidai ambazo zitauvua utu wa mtu na kudhalilisha watu wengine.
Mimi ni miongoni mwa watu ninaopendezwa na mengi uyafanyayo na uyateteayo lakini sasa naona unataka kuboronga. Naomba usimalize vibaya na kujivunjia heshima yako ambayo sisi vijana tulikuwa tunakupa. Vinginevyo tuwe tulikujua tofauti na ulivyo lakini bila shaka najua uliteleza.
Hatuwezi ruhusu kila kitu kwa kigezo cha haki na maamuzi binafsi ya mtu. Embu fikiria kama tukiruhusu mambo unayoyatetea unadhani nini kitatokea.
Embu fikiria turuhusu Mtoto wa kike alale na Baba yake mzazi unadhani utu wa mtu utakuwa wapi? Kisa tu ni mambo binafsi ya watu. Embu fikiria mtu afanye mapenzi na mnyama unadhani utu wa mtu utakuwa wapi? Embu fikiria sasa hivi hapo wewe utembee na mwanao wa kiume eti kisa tu ni haki na mambo yako binafsi unadhani utu wako utakuwa wapi?
Kujua sheria kusikufanye ukavuka mipaka ya asili. Ukavunja kanuni za asili ambazo zimewekwa na Mungu(sio kwa umuhimu).
Tunahitaji wanawake kama ninyi mpiganie mambo ya msingi. Mambo kama Haki za wanawake, haki za watoto, na mambo mengine. Lakini si kutetea ujinga na upuuzi.
Kujua sherias sio kutetea Uovu na kudhalilisha utu wa mtu. Nilitegemea Mama kama wewe ungetumia muda wako kutoa elimu za kisheria na matamko makali ya kuonya kuhusu tabia za ushoga na usagaji. Ukiwa kama Mzazi wengi wangefurahi kukuona ukiwashauri wadada wanaotupa picha za uchi mitandanoni waache kwani wanadhalilisha jinsia ya kike ukiwemo wewe.
Lakini matokeo yake umepuyanga na kuteleza katika utelezi wa kimagharibi. Sikulaumu wala sikushutumu kwa ulilolitenda kwani najua huenda uliteleza.
Nitakulaumu endapo hutafuta kauli yako. Na ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wako. Maliza vizuri kwa heshima. Wewe si binti tena mpaka uongozwe na mihemko hivyo busara ikutawale umalizapo zamu yako.
Heshima uliyonayo ni kubwa kwenye jamii ndio maana hata Ukachaguliwa na wanasheria wenzako kuwaongoza kwa mwaka huu.
Hii ilitosha kukufungua akili jinsi Watanzania wanavyokuheshimu. Sasa unapofanya mambo haya kiukweli unanipa mashaka mimi na wengine wenye akili za mfano wangu ambao bila shaka ni wengi.
Hatukusoma ili tuudhalilishe utu wetu. Hatukupata nafasi za juu ili tuifanye jamii yetu kuwa ya kinyama. Mambo ya hivyo tuwaachie mataifa mengine. Kama yupo anayependa mambo hayo tutamsaidia kumpa uhamisho aende akaishi huko ili afanye bila shida.
Hata hivyo serikali ni kama imepoa sana kiasi kwamba inaachia baadhi ya mambo yaenda kiholela. Udhalilishaji wa kina mama umekua kwa kiasi kikubwa. Sasa naona unahamia kwa wanaume.
Nilitamani kusikia wanasiasa, wanaharakati, na viongozi wa dini wakipinga mambo haya kwa nguvu zote. Ushoga na kutuma picha za uchi mitandaoni.
Lakini Mhe. Fatuma umeingia katika kundi la wanaowatetea. Haki ndio wanayo lakini si katika taifa hili. Kama unawaonea huruma basi iombe serikali ikupe ruhusa uwahamishia katika nchi zinazokubaliana na mambo hayo
Mhe. Fatuma Karume, ni matumaini yangu kuwa Andiko hili hutoshindwa kulielewa hakika. Nafahamu unahekima ambayo haitashindwa kuona mahali ulipokosea. Muungwana hukubali maonyo bila kujali anaonywa na nani. Usiwavunje moyo vijana wanaokuchukulia kama Role model wao.
Ikufikie ulipo.
View attachment 920312
Wangeyaacha huko huko chemba wasingefuatwa na mtu. Hawa wanayaanika kwenye mitandao ya kijamii. Jambo ukishaliweka wazi shuruti lijadiliwe ima kwa kupongezwa au kukosolewa.Pamoja na kwamba siupendi ushoga but nakubaliana na Shangazi, watu wazima wakiamua kufanya mambo yao chemba let them..
KUYAANIKAJE KWENYE MTANDAO!?Wangeyaacha huko huko chemba wasingefuatwa na mtu. Hawa wanayaanika kwenye mitandao ya kijamii. Jambo ukishaliweka wazi shuruti lijadiliwe ima kwa kupongezwa au kukosolewa.
Tafuta chakula ule kabla siku haijesha mkuu.KUYAANIKAJE KWENYE MTANDAO!?
huyo fatma karume nilikuwa namuheshimu kwa taaluma yake lakini kuanzia leo namuona ni mnafiki wa kiwango cha tanzania , yeye ndo alikuwa namba moja kama sio mbili kumkandia jokate alipochaguliwa na mkulu kuwa dc kwamba tanzania inapoteza sifa kwa kuwateua wakaa uchi mitandaoni leo
Hapana Shangazi katereza atasababisha credibility yake kwenye jamii ishuke please shangazi jitafakari upya
Pamoja na kwamba siupendi ushoga but nakubaliana na Shangazi, watu wazima wakiamua kufanya mambo yao chemba let them..
Msemaji wa TLS ni nani?TLS wamesema mtazamo wa shangazi sio wa chama ni mambo yake binafsi wao hawapo kwny hayo mambo ya mifirano
Wewe ni moja ya wanawake wenye elimu nzuri. Mwanamke jasiri na mwenye uthubutu wa kuongea jambo lolote ukiliona halijakaa sawa. Elimu yako na sifa zingine lukuki ndizo zimekupa heshima kubwa kwenye jamii ya kitanzania.
Nafahamu wewe ni mwanasheria na una uelewa mpana kuhusu fani hiyo. Unajua kuwa sheria zipo kwa ajili ya kuifanya jamii iishi kwa amani bila kuvunjiana haki za watu. Lakini pia unaelewa kabisa zipo haki ambazo mtu huweza kuzidai ambazo zitauvua utu wa mtu na kudhalilisha watu wengine.
Mimi ni miongoni mwa watu ninaopendezwa na mengi uyafanyayo na uyateteayo lakini sasa naona unataka kuboronga. Naomba usimalize vibaya na kujivunjia heshima yako ambayo sisi vijana tulikuwa tunakupa. Vinginevyo tuwe tulikujua tofauti na ulivyo lakini bila shaka najua uliteleza.
Hatuwezi ruhusu kila kitu kwa kigezo cha haki na maamuzi binafsi ya mtu. Embu fikiria kama tukiruhusu mambo unayoyatetea unadhani nini kitatokea.
Embu fikiria turuhusu Mtoto wa kike alale na Baba yake mzazi unadhani utu wa mtu utakuwa wapi? Kisa tu ni mambo binafsi ya watu. Embu fikiria mtu afanye mapenzi na mnyama unadhani utu wa mtu utakuwa wapi? Embu fikiria sasa hivi hapo wewe utembee na mwanao wa kiume eti kisa tu ni haki na mambo yako binafsi unadhani utu wako utakuwa wapi?
Kujua sheria kusikufanye ukavuka mipaka ya asili. Ukavunja kanuni za asili ambazo zimewekwa na Mungu(sio kwa umuhimu).
Tunahitaji wanawake kama ninyi mpiganie mambo ya msingi. Mambo kama Haki za wanawake, haki za watoto, na mambo mengine. Lakini si kutetea ujinga na upuuzi.
Kujua sherias sio kutetea Uovu na kudhalilisha utu wa mtu. Nilitegemea Mama kama wewe ungetumia muda wako kutoa elimu za kisheria na matamko makali ya kuonya kuhusu tabia za ushoga na usagaji. Ukiwa kama Mzazi wengi wangefurahi kukuona ukiwashauri wadada wanaotupa picha za uchi mitandanoni waache kwani wanadhalilisha jinsia ya kike ukiwemo wewe.
Lakini matokeo yake umepuyanga na kuteleza katika utelezi wa kimagharibi. Sikulaumu wala sikushutumu kwa ulilolitenda kwani najua huenda uliteleza.
Nitakulaumu endapo hutafuta kauli yako. Na ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wako. Maliza vizuri kwa heshima. Wewe si binti tena mpaka uongozwe na mihemko hivyo busara ikutawale umalizapo zamu yako.
Heshima uliyonayo ni kubwa kwenye jamii ndio maana hata Ukachaguliwa na wanasheria wenzako kuwaongoza kwa mwaka huu.
Hii ilitosha kukufungua akili jinsi Watanzania wanavyokuheshimu. Sasa unapofanya mambo haya kiukweli unanipa mashaka mimi na wengine wenye akili za mfano wangu ambao bila shaka ni wengi.
Hatukusoma ili tuudhalilishe utu wetu. Hatukupata nafasi za juu ili tuifanye jamii yetu kuwa ya kinyama. Mambo ya hivyo tuwaachie mataifa mengine. Kama yupo anayependa mambo hayo tutamsaidia kumpa uhamisho aende akaishi huko ili afanye bila shida.
Hata hivyo serikali ni kama imepoa sana kiasi kwamba inaachia baadhi ya mambo yaenda kiholela. Udhalilishaji wa kina mama umekua kwa kiasi kikubwa. Sasa naona unahamia kwa wanaume.
Nilitamani kusikia wanasiasa, wanaharakati, na viongozi wa dini wakipinga mambo haya kwa nguvu zote. Ushoga na kutuma picha za uchi mitandaoni.
Lakini Mhe. Fatuma umeingia katika kundi la wanaowatetea. Haki ndio wanayo lakini si katika taifa hili. Kama unawaonea huruma basi iombe serikali ikupe ruhusa uwahamishia katika nchi zinazokubaliana na mambo hayo
Mhe. Fatuma Karume, ni matumaini yangu kuwa Andiko hili hutoshindwa kulielewa hakika. Nafahamu unahekima ambayo haitashindwa kuona mahali ulipokosea. Muungwana hukubali maonyo bila kujali anaonywa na nani. Usiwavunje moyo vijana wanaokuchukulia kama Role model wao.
Ikufikie ulipo.
View attachment 920312
Sawa shangazi!Tafuta chakula ule kabla siku haijesha mkuu.
Usiku mwema delishasi.Sawa shangazi!
hahahaaTLS wamesema mtazamo wa shangazi sio wa chama ni mambo yake binafsi wao hawapo kwny hayo mambo ya mifirano
Usiku mwema delishasi.Usiku mwema delishasi.