Fatma Karume, kubali umeteleza

She is right 100 percent. Watanzania chapeni kazi badala ya kudeal na mambo ya kipuuzi.
 
Dada Fatma uko sahihi 100% siku zote una ongea vitu unavyoona viko right,kusimama kwenye jamii ya ma homophobics na kutoa opinion Kama yako bila kujali fani Yako au nafasi yako katika Jamii ni Jambo la kiujasiri sana,TLS wana jembeee
 
Unampa ushauri wakati asili yake muarabu kwake ni somebody business analeta upwani bara yaani ndo maana half cast ni cast spicies sehemu nyingine za ulimwengu .....kasoma sheria za ulaya analeta tanzania kama ni mwanasheria wa vyuo vyetu ataelewa sheria zetu haziruhusu ushoga ndo utamaduni wetu bana ....labda hukupita school of law ya TZ baada kurudi shule yake ya UK
 
Huyu dada anatafuta kiki kwa nguvu sana kumtetea Amba rut kama angekuwa kafanya bahati mbaya sawa lakini amba rut amepost video nyingi sana akifanya mapenzi kwenye mitandao tena akiwa na hiyo shoga walieshtakiwa Naye wakibanduliwa pamoja . Huyu karume simpendi kwa sababu amekula bata sana kwenye familia yao sasa na baada ya kukosa teuzi serikalini anajifanya mwanaharakati . Lakini kwa hili aidha fatma msagaji au anatumika kuvuruga watu.
 
Pamoja na kwamba siupendi ushoga but nakubaliana na Shangazi, watu wazima wakiamua kufanya mambo yao chemba let them..
 
Anicet mchomvu,
Swali jepesi ni MWANAUME akileta posa kwao ili KUMUOA mtoto wake wa kiume atakubali? Au mwanamke aje kumposa mtoto wake wa kike je atapokea mahari ili mtoto wake wa kike akasagwe na mwanamke?
Kuna mtu ana hack accounts za watu humu? Mbona mimi sikuita mtu yoyote mods mnaniwekea kama nimemquote mtu?
 
FATMA KARUME NI JASIRI.

KAZUNGUMZA UKWELI MCHUNGU WANAFIKI WAMEBAKI KULIA LIA LAKINI GIZA LIKIINGIA WANAKALIA MAJITI YA NYUMA.

GO GO GO FATMA!
 
Hili swala la Ushoga ni ngumu sana kulishinda kwa vita ya Damu na nyama /kibinadamu. Hapa inatakiwa Tumuombe Mungu sana awez kutuepusha na janga hli. 2tashinda Ushoga kwa kusal na kufunga. Kilio cha wengi Mungu atajibu kwa wakati 2
 
Shangazi wa taifa anayeshawishi maadili ya ushoga!? haiwezekani ikawa ni Tanzania hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…