Father Charles Kitime aviasa vyama vya Siasa kupendana

Katibu mkuu wa Balaza la maskofu Tanzania (TEC) amemuonya Rais Magufuli na CCM kwa namna wanavyoviminya vyama vingine vya siasa, na kuwataka watu wasikae kimya watoke na wakemee haya matendo yanayoligawa Taifa.
Msikilize

Badala ya kuomba Mungu atuepushe na Corona, anahangaika na siasa. Kwanini asijiunge kabisa ijulikane moja. Ni mwanasiasa
 
Katibu mkuu wa Balaza la maskofu Tanzania (TEC) amemuonya Rais Magufuli na CCM kwa namna wanavyoviminya vyama vingine vya siasa, na kuwataka watu wasikae kimya watoke na wakemee haya matendo yanayoligawa Taifa.
Msikilize
Viongozi wengi wa dini ni waoga tena ni wanafiki na wana kaa kimya ili kujipendekeza kwa Magufuli na CCM yake....Wamesahau kuwa uwoga wao ni dhambi !!

UFUNUO WA YOHANA 21: 8
8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katibu mkuu wa Balaza la maskofu Tanzania (TEC) amemuonya Rais Magufuli na CCM kwa namna wanavyoviminya vyama vingine vya siasa, na kuwataka watu wasikae kimya watoke na wakemee haya matendo yanayoligawa Taifa.
Msikilize

Indirectly amemuonya Jiwe.... Bashiru, Polepole.. hawa ndio waasisi wa siasa za uadui unaojengeka nchini. They will be accountable when the time will be ripe
 
Back
Top Bottom