fataki naingia

fataki naingia

Tabia za ufataki ziache huko huku, hapa utuletee maada mototo na michango makini. Karibu sana mkuu.
 
Wadau ninaomba mnipokee kwani hapa najua nitaelemika kwenye all aspect.

Vipi Mzee Fataki umebadili jina? haya majina ya kutishia mabinti zetu; ningekuwa MOD ungelamba BAN siku ya kwanza!
 
Vipi Mzee Fataki umebadili jina? haya majina ya kutishia mabinti zetu; ningekuwa MOD ungelamba BAN siku ya kwanza!
huyo fataki yupo sahihi kazi kwenu wakina dada sisi tukiwaona mmesimama nae tu basi twajua nini mwaongea maana kajitamburisha yeye ni ditoneta.
 
Back
Top Bottom