Fastjet sio lowcost tena, why?

Fastjet sio lowcost tena, why?

msani

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
1,800
Reaction score
1,194
Fastjet walikuja kwa kasi na strategy ya lowcost na wakawayumbisha washindani ila sasa mambo tofauti. Leo nimetaka kukata tiketi FASTJET nikaambiwa DSM-MWANZA ni TZS 248,000 kuondoka jpili nikaona niingie kwa mshindani wake PRECISION nikakata kwa TZS 124,800.

Kwaherini fastjet mmempoteza mteja wetu aliyekuwa mtiifu.
 
Msan

unavokata mapema ndivo inazdi pungua siyo km ww unavofikir,hyo ya precision 124 ni return au one way ninavojua mim precision haiko cheap kiivo labda km itakua one way.
 
Last edited by a moderator:
Wajanja wajanja na wameshateka soko, wao wanasema uki book mapema ndio inakuwa somhow cheap
 
Hebu kakate tiketi ya mwezi wa kumi kesho uone bei yao.
Na hiyo hiyo bei ya Dar..Mza asubuhi inatofautiana na Dar ,,Mza mchana au Jioni/Usiku. Unalijua hilo ?
 
Bei ya tiketi ya ndege duniani kote ukikata mapema unapata cheap, lakini ukate leo uondoke kesho, usitegemee urahisi
 
Bei ya tiketi ya ndege duniani kote ukikata mapema unapata cheap, lakini ukate leo uondoke kesho, usitegemee urahisi

sawa mkuu lakini yapo mashirika ambayo yanafahamika kuwa wapo cheap na wengine ghali kama ethiopia bei zao zipo chini tofauti na mshirika mengine ktk route iyo iyo..
 
sawa mkuu lakini yapo mashirika ambayo yanafahamika kuwa wapo cheap na wengine ghali kama ethiopia bei zao zipo chini tofauti na mshirika mengine ktk route iyo iyo..

Ni sawa kabisa, lakini hata wao ukiangalia bei ya kuondoka nayo wiki ijayo ni tofauti na ya kuondoka nayo mwezi ujao, utaona bei inakua nafuu zaidi pale ukikata muda mrefu. Utaratibu wa ndege pamoja na kwamba unakuta haina utofauti wa siti yangu na yako, lakini kuna zile siti za bei kubwa kulingana na muda ambazo huwa hazinunuliwi mapema
 
pia mkuu mm hapa naona kama tunachanganya mambo hii ni local route iweje ipande zaidi ya laki na zaidi,,local mara nyingi hupanda kidogo na inakua kikomo pale si kwa kuwa inapanda basi ndio hakuna kikomo,

nakutolea mfano hapa hapa afrika kama angola local bei zao zipo kawaida sana na watu wengi usafiri kwa ndege,tukienda sauz ndio kabisaa kuna tango muda mwingine inakua ipo sawa fare na bus la intercape au greyhoond five star bus..
 
Mie nimekata mwezi uliopita ya kusafiri mwezi ujao (DAR-MZA) sh. 48,000/- one way. Siui kama wanatoa juisi za bure!
 
msani

it depands? kata mapema it's cheap na pia time ya ndege does matter, mfano ticket za ndege za asubuhi na za mwisho jioni ni tofauti na za katikati wa mchana...

Pia huwa wanakuwa na sale kila 3 months kata wakati huo, ila kama ni safari ya kushitukiza lol bei huwa juu sana!!!
 
Attachments

  • IMG_20150529_231127.png
    IMG_20150529_231127.png
    73.1 KB · Views: 675
Last edited by a moderator:
bongo maajabu hayataisha unauziwa chakula angani?

Mama ntilie wako pote duniani hata angani ila wakiwa angani wanaitwa air hostess siyo mama nitilie.Chakula kinaongeza bure gharama ya tiketi kuipunguza ndio fast jet wakaona waondoe chakula kwenye tiketi ili wasimbebeshe abiria mzigo asiotaka.Wako wengi ambao huwa hawali chochote kwenye ndege hivyo kuondoa gharama za chakula kwenye tiketi kwao ni raha burudani.

Chakula chenyewe cha kwenye ndege kwa sisi walaji ni kuchokoza njaa tu bure mimi huwa sitaki kula kwenye ndege kabisa.
 
hao mama ntilie uliowaita chakula hakiuzwi ukiangalia muda aliosubiri abiri mpaka anapanda ndege tena ukamuuzie korosho ndani badala ya kutoa lishe bure,,ukizoea kupanda fastjet ukaja ukapanda SA utakataa baadhi ya round zipite na pia gharama ipi mkuu kama kilimanjaro bus arusha to dar wanatoa maji,soda na biscuits kwa nauli ya 33,000.na pia sidhani ktk dunia unayosema utapewa leseni ya kufanya kazi kama supply ya lishe haieleweki..ndege zenyewe full matatizo harafu abiria wawe na njaa... Sisemi kwa upande wangu nazungumzia kwa ujumla mm mwenyewe siwezi shiba tule tulishe ila tusanganywe kwa ivyo mkuu.
 
msani

ww unayepanda precision usisahau kunichukulia mafuta ya alzet mkiwa mnachimba dawa pale nani...
 
Last edited by a moderator:
Bwana Mkuu nadhani hapo umekosea kwa sababu juzi nimetoka kuulizia, nilitaka kukata ticket kutoka Mwanza nije Dar in 3 weeks time na nikaambiwa air ticket kwa ujumla itanicost 48,000/= pekee!!! Basi linalochukua masaa zaidi ya 12 niliambiwa shilingi 44,000/=. Kuuliza Precision Air nikaambiwa 3 weeks in advance nitalipa 195,000/=. Fast Jet itazidi kugrow sana huu mwaka
 
Nakubaliana na mawazo ya wote hapo juu lakini mie niliamua kukata alhamisi ya kuondoka jpili lakini utofauti wa bei ni mkubwa, je ikitokea una safari za ghafla za ndani ya siku 2 au 3 bora Precision.

Fastjet wezi, yaani mpaka ukate tiketi za kujiandaa labda kama unapanga likizo ila sio shughuli za kibiashara ambazo zinakuhitaji kufanya maamuzi ya kusafiri ya ndani ya siku 2 hadi 3.

Nimeamua kukata precision badala ya fastjet kwa sababu ya gharama. Ila km unapanga safari ndani ya mwezi au wiki 3 basi utapata fasjet kwa gharama nafuu, ila ukilinganisha hapo bora precision.
 
msani

Hahahahahahahahaahahahhhaahahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom