mzalendo15
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,361
- 1,054
Jumatano ilikuwa mzee asafiri tukawa tumeshamkatia tiketi ila kwa bahati mbaya tukapata msiba ile kuomba kubadilishiwa tiketi kusogeza mbele gharama ikawa kubwa kuliko tiketi mpya
Tukakata tiketi mpya ya kuondoka leo
Leo mzee alipaswa kuondoka sa nne na dak kumi asubuh tukafika pale Airport na akaingia cheking! Pale akarudishwa mara tatu mzigo wako ulikuwa na pafyum na kachuma kadogo eti alipofanikiwa kupita mbele wakamrudisha kuwa kachelewa dak mbili
Kuwaeleza amecheleweshwa na walinzi wakagoma na hapo ni sa 3 na nusu inamaana bado dak 40 nzima ndege iondoke
Mzee akarudi nje baada ya kuelekezwa aende ofisi za kampun anayotaka kusafiri nayo ili wao ndo wampeleke pale apitishwe
Kufika ofisi ya fastjet pale eti wanagoma hawana nafasi ya kutoka hivyo mzee akate tiketi nyingine
Nilijikuta nawatukana matusi mpaka nikaondolewa na walinzi
Mtu yupo palepale uwanja wa ndege na bado muda wa kuondoka ndege anazuiwaje kuingia???
na hizi pesa tulizomkatia mzee mara mbili anashindwa kusafiri nani anazila?
Magufuli tusaidie hili jipu
vigezo na masharti havikuzingatiwa mkuu,hata mimi nilishawahi kuachwa na concord na sikurudishiwa hata centi tanoJumatano ilikuwa mzee asafiri tukawa tumeshamkatia tiketi ila kwa bahati mbaya tukapata msiba ile kuomba kubadilishiwa tiketi kusogeza mbele gharama ikawa kubwa kuliko tiketi mpya
Tukakata tiketi mpya ya kuondoka leo
Leo mzee alipaswa kuondoka sa nne na dak kumi asubuh tukafika pale Airport na akaingia cheking! Pale akarudishwa mara tatu mzigo wako ulikuwa na pafyum na kachuma kadogo eti alipofanikiwa kupita mbele wakamrudisha kuwa kachelewa dak mbili
Kuwaeleza amecheleweshwa na walinzi wakagoma na hapo ni sa 3 na nusu inamaana bado dak 40 nzima ndege iondoke
Mzee akarudi nje baada ya kuelekezwa aende ofisi za kampun anayotaka kusafiri nayo ili wao ndo wampeleke pale apitishwe
Kufika ofisi ya fastjet pale eti wanagoma hawana nafasi ya kutoka hivyo mzee akate tiketi nyingine
Nilijikuta nawatukana matusi mpaka nikaondolewa na walinzi
Mtu yupo palepale uwanja wa ndege na bado muda wa kuondoka ndege anazuiwaje kuingia???
na hizi pesa tulizomkatia mzee mara mbili anashindwa kusafiri nani anazila?
Magufuli tusaidie hili jipu
Ukiangalia kwa uhalisia sasa hivi Fastjet hawana bei nafuu nimewahi kupoteza ticket ya 245,000/- Safari ya kwenda tu Dar-mbeya(one way) baada ya kuchelewa ticket ikawa imepotea ukiangalia wanatudanganya sana.
Tofauti na Precision Air kipindi cha nyuma nilikata ticket 195,000/- baada ya kuchelewa nilichajiwa gharama ya 60,000/- kama gharama ya kuchelewa na kubadilisha ticket ambayo kimsingi niliiafiki .
Lakini hili la fastjet kucharge gharama kubwa alafu ticket hauwezi kubadilisha kwakeli wanatuibia sana.
Unapokuwa kwenye desk la anayekupa boarding pass.hivi check in inaanzia wapi? unapovuka scanner au unapokaguliwa ticket?
Pamoja sana mkuuKwa msaada zaidi peleka malalamiko yako FAIR COMPETITION COMMISSION UBUNGO. This are industry regulators and consumers protectors. Usisubiri magufuli afanye kila kitu wakati kuna waliopewa majukumu hayo.. fanya nilivyokuambia utaona matokeo yake
Check in ni kabla ya yote, na kwa mashirika mengi ya ndege huduma hii unaifanya kwenye mtandao. Ukifika airport kazi yako ni kukabidhi mizigo na kuendelea na ukaguzi.hivi check in inaanzia wapi? unapovuka scanner au unapokaguliwa ticket?
Kwa gharama za ndege hapa nchini ni kubwa sana. Nauri ya kwenda kigoma kutoka Dar inalingana na nauri ya kwenda India! Hii yote imesababishwa na nchi kushindwa kufanya uwekezaji na hivyo viongozi wengi wasio na huruma na walio mafisadi na wabinafsi wanatumia chance hiyo kutuumizaUkiangalia kwa uhalisia sasa hivi Fastjet hawana bei nafuu nimewahi kupoteza ticket ya 245,000/- Safari ya kwenda tu Dar-mbeya(one way) baada ya kuchelewa ticket ikawa imepotea ukiangalia wanatudanganya sana.
Tofauti na Precision Air kipindi cha nyuma nilikata ticket 195,000/- baada ya kuchelewa nilichajiwa gharama ya 60,000/- kama gharama ya kuchelewa na kubadilisha ticket ambayo kimsingi niliiafiki .
Lakini hili la fastjet kucharge gharama kubwa alafu ticket hauwezi kubadilisha kwakeli wanatuibia sana.
PMM hakuna leseni ya budget airline au category hiyo kisheria bali ni business modal ambayo shirika linaamua kufanya kama mkakati wa kushindana! Regulator ataaingilia kama wataweka nauli za chini kuliko gharama za uendeshaji wakiwa na nia ya kuwaua wengine ili wabaki pekee yao ( predatory pricing) na kuwa na monopoly. Tatizo ni hilo la kukosa washindani na pia usisahau hali halisi ya watumiaji na ambao wangependa kutumia huduma hii, yaani umaskini! Hivyo anaweza kujiita budget airline na akafanya shughuli zake Kama conventional airlines au kwa kuchanganya business modals tofauti bila kuingiliwa na regulator as long as anakidhi matakwa ya leseni kibiasharawao wanajiita "BUDGET AIRLINE". Nadhali regulator sasa ndio mwenye jukumu la kufuatilia kama wanakidhi matakwa ya "BUDGET AIRLINE" services. Lakini wanatakiwa waadhibiwe na kuwepo na competition ya kutosha maana mimi naona kama wana monopoly ya aina fulani hivi. Taarifa niliyo ambiwa ni kuwa wakubwa wengi wana shares.
Sorry read business model not modalPMM hakuna leseni ya budget airline au category hiyo kisheria bali ni business modal ambayo shirika linaamua kufanya kama mkakati wa kushindana! Regulator ataaingilia kama wataweka nauli za chini kuliko gharama za uendeshaji wakiwa na nia ya kuwaua wengine ili wabaki pekee yao ( predatory pricing) na kuwa na monopoly. Tatizo ni hilo la kukosa washindani na pia usisahau hali halisi ya watumiaji na ambao wangependa kutumia huduma hii, yaani umaskini! Hivyo anaweza kujiita budget airline na akafanya shughuli zake Kama conventional airlines au kwa kuchanganya business modals tofauti bila kuingiliwa na regulator as long as anakidhi matakwa ya leseni kibiashara
PMM hakuna leseni ya budget airline au category hiyo kisheria bali ni business modal ambayo shirika linaamua kufanya kama mkakati wa kushindana! Regulator ataaingilia kama wataweka nauli za chini kuliko gharama za uendeshaji wakiwa na nia ya kuwaua wengine ili wabaki pekee yao ( predatory pricing) na kuwa na monopoly. Tatizo ni hilo la kukosa washindani na pia usisahau hali halisi ya watumiaji na ambao wangependa kutumia huduma hii, yaani umaskini! Hivyo anaweza kujiita budget airline na akafanya shughuli zake Kama conventional airlines au kwa kuchanganya business modals tofauti bila kuingiliwa na regulator as long as anakidhi matakwa ya leseni kibiashara
Kumbe hata uvccm huwa wanalizwa? Wacha muisome nambaa ehhhh ccm mbele kwa mbele!!Nenda uvccm uwaambie wewe ni mgombea wao 2017 watakusaidia
Sasa na wewe! Yaani hujui kabisa kwamba kama umeamua kutumia wingi tunasema "these are?". Tutumieni lugha yetu jamani hii ya kuja na meli tuachane nayo hatuiwezi!Kwa msaada zaidi peleka malalamiko yako FAIR COMPETITION COMMISSION UBUNGO. This are industry regulators and consumers protectors. Usisubiri magufuli afanye kila kitu wakati kuna waliopewa majukumu hayo.. fanya nilivyokuambia utaona matokeo yake
Kwa gharama za ndege hapa nchini ni kubwa sana. Nauri ya kwenda kigoma kutoka Dar inalingana na nauri ya kwenda India! Hii yote imesababishwa na nchi kushindwa kufanya uwekezaji na hivyo viongozi wengi wasio na huruma na walio mafisadi na wabinafsi wanatumia chance hiyo kutuumiza[/
QUOTE]
Tumekosa uzalendo nilishawahi kusema humu kwamba ni jambo la aibu sana kwa nchi kama Tanzania kuruhusu shirika la kigeni kuweka base yake. Huku tukisema tunataka kufufua Atcl hapa tunajidanganya na haya ndio madhara yake. Ndio maana ndugu zetu Wakenya wanatucheka na kutudharau sana.
Sasa hv Fastjet ndio imekuwa Airtanzania alafu humu kuna watu wanisifu bila haya sijui ni lini sisi watanzania tutasimama wenyewe na kujivunia chetu.
Mimi nasubiri nione mzee magu atalitumbuaje hili jipu.
PMM naelewa concerns zako, ila kama nilivyojaribu kuainisha tatizo ni la washindani dhaifu. Kama wako makini na huo upotoshaji wa fastjet wangetumia huo mwanya kwa kupata abiria zaidi na kuishikisha adabu fastjet. Tatizo bado fastjet ni reliable kuliko hao washindani wake otherwise huna haja ya kununua tiketi zake. Swala la kuchelewa na cancellation ya ticket yako ni muhimu watu wakaelewa kuwa hiyo tiketi ina masharti magumu na inakuwa ghali ukikiuka masharti hayo iwe kwa bahati mbaya au kupenda! Hivyo jiulize mara mbili kabla ya kukata tiketi yao na kujidhihirisha kuwa utamudu masharti yao. Kuwa budget au kutokuwa budget ni swala la ushindani na wewe mlaji kuamua unafaidika vipi na hao budget ukilinganisha na conventional business model!Nashukuru sana. Mimi si mtalaam wa aviation industry, lakini conventional airline nyingi zinaruhusu kuchukua mzigo hadi kilo 20 na hata 40 na zaidi kwa international flights. Kwa uzoefu wangu naona budget airlines tu ndio haziruhusu kubeba mzigo na ukiwa nao unalipia. Lakini honestly speaking bei wanayo charge FASTJET si ya budget, na hivyo warudishwe kwenye za kawaida na wafuate taratibu hizo. Ndio maana bado narudi suala la regulator, vinginevyo walaji watazidi kuonewa sana. Tueleweshwe kama wao ni budget ni vigezo vipi wananchi wajue wazi.
Nasema hivyo kwa sababu nimewahi tumia sana budget airline na FASTJEt pia, lakini naona tofauti kubwa sana hasa kwa bei. Hata muda wa mteja kuweza nunua ticket afaidi nauli ni mrefu sana.