mgombea uvccm2017
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 505
- 376
Mkuu walinambia nbadilishiwe tiketi ila nilashangaa gharama ni kubwa kuliko kununua tiketi mpya! Imebidi nilipie tiketi mpya mzee aondokeFastjet tena!! Hapa maelezo ya kutosha si yalitolewa vya kutosha jinsi gani mashirika hayo yanayochaji bei ya chini yanavyoendeshwa. Na kwa maelezo yako ni kweli wanachaji rahisi maana ulivyoambiwa ukate tiketi nyingine ulikata. Mambo ya mizigo na kuwahi kufika uwanjani ni mambo muhimu ya kuzingatia!!
hivi check in inaanzia wapi? unapovuka scanner au unapokaguliwa ticket?mkuu check in time ikipita umeachwa na ndege...pia ndege sio basi kiasi cha kubadili tu utakavyo
30 minutes before departure unatakiwa uwe ndani ya ndege...la sivyo...umechelewa...haijalishi uko wapihivi check in inaanzia wapi? unapovuka scanner au unapokaguliwa ticket?
Vitu vyote ulivyoelezea ni kosa lako/lenu. Inaonekana wewe ni mgeni wa safari za ndege. Ndege sio kama basi. 1. Huruhusiwi kuingia na vimiminika (Naona dingi yako ni mgeni kwani ukikutwa na kimiminika ni kiasi cha kukitupia kwenye dustbin tu). 2.Kuna muda wa check-inn na ukipita huwezi kuingia hata kama ndege haijaondoka. 3. Tiketi ya ndege sio kama ya basi. Kama ulikata hizi za bei ndogo na zina masharti ya kutobadilisha tarehe ya kusafiri basi ukichelewa/ukiahirisha safari hurudishiwi fedha na kubadilisha ni gharama kubwa.Mkuu walinambia nbadilishiwe tiketi ila nilashangaa gharama ni kubwa kuliko kununua tiketi mpya! Imebidi nilipie tiketi mpya mzee aondoke
Counter ndo checkin inapofanyika, kweny scanner ni mamlaka ya kiwanja haihusian na shirika la ndegehivi check in inaanzia wapi? unapovuka scanner au unapokaguliwa ticket?
kama mtu keshavuka counter akarudishwa kwenye scanner inakuwaje?Counter ndo checkin inapofanyika, kweny scanner ni mamlaka ya kiwanja haihusian na shirika la ndege