Habari njema wasafiri, kuanzia January 11 fastjet inatarajiwa kuanza kutua Kenya, Kutokea JNIA na KIA.
Kilio chetu cha Muda mrefu kimesikika, naona majamaa wa Kenya walibana sasa wameachia.
Habari njema wasafiri, kuanzia January 11 fastjet inatarajiwa kuanza kutua Kenya, Kutokea JNIA na KIA.
Kilio chetu cha Muda mrefu kimesikika, naona majamaa wa Kenya walibana sasa wameachia.
Mkuu #kilimo KQ hapo lazima wakubali kushuka, bila hivyo mwaka umewaanzia vibaya, jamaa huwa wanataka advantage sana kutulangua, Uganda Air, ilipofungiwa tu, walipandisha bei mara dufu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.