chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 900
Pamoja na wenginee kuiita eti ni daladala na kuona haistahili utoke kwenye ndenge upande daladala kuelekea Nyumbani (wale wa DSM), sasa nimeamini FastJet wamezamilia na kama kutakuwa hakuna mizengwe(kawaida tanzania) basi huu ndo ukombozi wa kweli kwenye sekta ya usafiri.
Soma na sikia Hapa BBC News - Fast Track - Low cost airlines mark new chapter in African aviation
Soma na sikia Hapa BBC News - Fast Track - Low cost airlines mark new chapter in African aviation