FASTJET- Kumbe hawatanii

Binafsi niliambiwa maneno hayo tena JKNIA , na nilishangaa. Lakini naona ukitaka kuwaibia watu chukua kitu kilekile weka bei tofauti moja kubwa sana na nyingine inayostahili kama wahindi wa tz wafanyavyo alafu utaona
 
wafanyabiashara wengi Tanzania wamezoea kuweka bei bila kujali hali ya soko,mfano kila siku bei zinapandishwa kwa visingizio vya thamani ya dola kupanda,siku thamani ya dola ikishuka hapa tanzania hakuna mfanyabiashara anayeshusha bei .!!!!,hili ni fundisho kwa wafanyabiashara kupanga bei kwa kuangalia hali halisi ya maisha ya wananchi.
 
Utaona January maana ndo miezi ya kupanda kwa dola. Visingizio sasa hata BOT wanachekesha
 
Kimsingi najua FastJet wanapigwa vita sana, mpaka tume ya ushindani nimesikia kuwa wamelalamikiwa huko kwa bei zao chee. Halafu kitu kimoja labda na wengine hawajastukia, mi naona Precision wana bei ya ajabu mno, wanafanya usafiri wa ndege uonekane anasa, wakati ni basic need. Kukaa Arusha mpaka Dar huwa kunnichosha, sina kitu cha kushangaa shangaa njiani zaidi ya bongo movie, ambayo hata si mpoenzi wake.

Wabongo wataendelea kusema na kuchonga maneno, lakini mi naona nimeshapata usafiri wa uhakika, na kamia ni mzigo kilo nyingi, nitautuma tu na DHL tukutane mbele kwa mbele, then mi nispend lisaa limoja na nusu tu angani. got matters to attend to. Viva FastJet. Ila rekebisheni ofisi yenu ya booking Arusha, imekaa kushoto naona.
 
Nakubaliana na wewe mkuu Endangered Ile ofisi ya Arusha iko sehemu mbaya!!!Parking place ni issue place!!!
 
Last edited by a moderator:
yeyote aliyewahi kuwaza au kusema hii maneno nakiri wazi huyu ni maskini wa akili na asipiangalia atakufa maskini .

Unajua tena watz wengi hupenda kujipa status ambazo sio zao na ndio maana mtu ana hela kiasi ambazo akizitumia vizuri ana move from one stage ya maisha to another lakini kwa kupenda kujipa status ambazo si zao na kutojitambua mtu anafanya kitu kuridhisha nafsi za wengine
 
Binafsi niliambiwa maneno hayo tena JKNIA , na nilishangaa. Lakini naona ukitaka kuwaibia watu chukua kitu kilekile weka bei tofauti moja kubwa sana na nyingine inayostahili kama wahindi wa tz wafanyavyo alafu utaona

Ndio maana wahindi wanapiga ela ndefu na kutajirika kwa kuwa wamesoma alama za nyakati, unakuta fundi radio wa kihindi ukimpelekea radio yako atakutengenezea kwa 60,000 lakini sehemu nyingine unakuta 10,000 sasa ukifanya window shopping kabla mtu anaona huyu wa 60,000 ndio fundi
 
Back
Top Bottom