Fastjet: Basi linalopaa angani


Kaka acha kutetea ujinga,mm nauza vocha ila hata ukitaka voda rusha ya 200 ukanipa elfu10 chenji ntawapa hata kama muwe kumi napata wapi chenji? Naenda mapema bank naomba chenji hakuna kutegemea huruma za mangi sasa hilo shirika kubwa hivo wanashindwa?
 
Kweli tupu. Crew wengi wa fast jet kiingereza mgogoro.hata yale maelezo ya jinsi ya kufunga mkanda na kujiokoa anasoma kwenye karatasi lakini Bado anachapia.ishu ya chenji ni Kweli pia.

jamani kingereza cha nini akati sisi wote watanzaniaa heee
 

Wahenga walisema,''bure aghali."
 
Kweli tupu. Crew wengi wa fast jet kiingereza mgogoro.hata yale maelezo ya jinsi ya kufunga mkanda na kujiokoa anasoma kwenye karatasi lakini Bado anachapia.ishu ya chenji ni Kweli pia.

Wa precision.bana kingeredha chao kitamu
 
Mbwembwe tu kwani ukifika airport unywe soda yako na keki adu ndo ukapanda kuna tatizo gani?

Sasa watu wote wakinywa airport kabla hawajapanda bas linalopaa hao.wenye bas si watakosa pesa kama vip waache.kufanya biashara la.sivyo.wawe.na.pesa.ndogondogo kabla ya kuanza safari. SIMPLE
 
Fastjet hawana makosa....jina linajitosheleza airline ya safari fupi na budget airline, next time nenda na change yako, kibongobongo wanajitahidi, Ulaya wana budget airline kama EasyJet na Rynair wanatengeneza siti za kusimama kama basi za mbagala

Bas waache kuuza vitu lasivyo wawe wanapaa na.kapu la hela ndogondogo na kama huna chenji kataa hela.ya.mteja kabla.hujampa huduma, la sivyo tunafuga wezi
 

Point safi
 
naona akili zako sio nzima. tokea lini wizi ukawa ni mesej kwa mteja wako aje na chenji! na kama wanajua hawana chenji kwa nini wasitoe hadhari mapema. sijawahi kusikia ukipungukiwa na elfu moja fastjet watakupatia tiketi
 
Trip 1 hr jitu linataka kula wali,soda mara bia hivi mngesafiri 20 hrs angani nyie si mngekufa kwa kula.
 
Wabongo nao bwana, wanapenda kula njiani, kama mchwa! We safari ya Lisaa manunuzi kwenye ndege ya nini?? Sijui ushamba
Sasa hivyo vitu unadhani usiponunua uliyepanda ndege unadhani ni nani atanunua?vimewekwa ili viuzwe na vinunuliwe......!!kwani kula ni ushamba???!!labda hao Fastjet ndo wanaweza kuwa washamba kwa kuuza vitu kwa trip ya one hour.
 

Dawa yao ni kuchange pesa kabisa..maana wao wamezoea keep change.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…