FAST JET- Hii Hold my fare fee ni ya nini?

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
4,279
6,452
Sasa hivi uki-book tiketi online unakutana na hilo tozo la "Hold My Fare Fee", nini lengo lake na je linarudishwa kwa mteje? maana ukiuliza wafanya kazi wa fast jet hapa moshi hawana majibu ya kueleweka.
Msaada tafadhali
 
Hawa jamaa FastJet wanatuibia ni balaa. Wanakuambia unaweza kubadilisha siku ya kusafiri halafu wanakuambia change fee ni bei sawa na hela uliyokatia ticket. Hivi kweli hakuna mdhibiti wa wizi wa namna hiii unaofanywa na vyombo vya usafiri kweli?
 
yaani hawa jamaa ni wezi sana
 
JPM ajitahidi kufufua ATC ili iongeze routes zake tuachane na wizi huu wa kampuni za mabepari
 
Fastjet kuitwa Shirika la Ndege la bei nafuu ni kinyume kabisa. Hawa jamaa ukiwa na dharura na ukaenda kwao masaa ya majeruhi utajuta. Utaambiwa kuwa nauli ya kwenda Dar ni Tshs500,000. Mbaya zaidi ukinunua kitu chochote kwenye ndege usahau kurudishiwa chenji. Tunaiomba Serikali yaJPM iangalie uwezekano wa kuimarisha Shirika letu la ndege kama ilivyo Rwanda.
 
Back
Top Bottom