Mkirua
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 5,647
- 2,513
Oooh kumbe kama wanajichubua kwa ajili yetu mbona viungo muhimu kwa ajili yetu tu huwa wanavisahau, unakuta kote kweupe peeee lakini huko Mtwara na Lindi mmmmh bila tochi ya asili unaweza usione mlango.
Hahaa..Lindi na Mtwara... yaani umenichekesha sana...Lakini humo si unajuwa ndio walipaswa waanza nako? cha ajabu hakupewi priority wakati kuna gesi nk....hahaaa...