Fashion police!!!!!!!!Nionavyo mimi

Fashion police!!!!!!!!Nionavyo mimi

heaven on earth dada langu...sio utani katika mamen ninavyo feel wanavyo vya kibongo bongo ni huyu jamaa,sheria mavazi...yani nikipata mihela yngu lazima awe dress designer wangu...na nina wish siku ya arusi yangu aniandalie sutii kama tatu za arusi sheria.jpghi got stlys,da.jpgdu.jpgde.jpgchukulia na raster zangu kwenye pamba kama hizi
 
Mie tena jamani shaka ondoa my mdogo laazizi wako yuko kwenye mikono salama trust me.
Ahsante sana dada yangu kipenzi, endelea kunillelea laazizi wangu hivyo hivyo maana wengi humu wanamfukuzia. Nakuaminia ukiwaona nakupa ruhusa wachape.
 
duh ha ha ha kweli hiyo ndio foolish age ya lulu....
 
Back
Top Bottom