Fashion police!!!!!!!!Nionavyo mimi

Fashion police!!!!!!!!Nionavyo mimi

Heaven on Earth

Platinum Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
37,236
Reaction score
26,770
1.Mhh sijui aliwaza nini huyu.............
foolishage-premier-216-of-273.jpg

2.Ni mimi peke yangu ndio naona nikionacho
foolishage-premier-268-of-273.jpg

3.Mboto what the hell do you think you were going!!!!!!
foolishage-premier-87-of-273.jpg

4.Hizo soksi miguuni vipi tena!!!!!!!
foolishage-premier-81-of-273.jpg

5.Steve Nyerere is this your new style!!!!!Dude dont do it again!!!!
foolishage-premier-108-of-273.jpg

6.Shoes ni kama vile zimepwayaaa!!!!!!!!
foolishage-premier-206-of-273.jpg

7.mmh ni vyake au vya shoga ake!!!!!
foolishage-premier-38-of-273.jpg

7.Wema namkubali kwa hayo madini LOL.....Make up ikizidi sana hapana
foolishage-premier-262-of-273.jpg

8.Mmmh hayo mabuti darisalama ni winter these days lol!!!!
foolishage-premier-9-of-273.jpg

9.Do i need to say more........
foolishage-premier-18-of-273.jpg

10.Ungevaa high hills ingekuwa much better not with those flat shoes
foolishage-premier-90-of-273.jpg

11.The shoes......mmh!!!!!!!!!!
foolishage-premier-113-of-273.jpg

12.huo mpasuo mashallah!!!!!ila niseme sana mie
foolishage-premier-179-of-273.jpg

Mode watuwekee sub forum ya urembo basi.list itaongezeka hapo baadae.......

Picha kwa hisani ya 8020 blogspot.......
 
hebu niwekee na sauda mwilima plz, sijui nimemuona kwenye hii ya au ya diamond, omg! sauda hanaga mtu wa karibu wa kumshauri jamani, huyo mume anashindwa kabisaaa? kiukweli sijui yule dada huwa anafikiria nini haswa, mbona habadiliki hata kidogo jamani? hiyo picha ya mwisho huyo dada alivyokauka sasa na huo mpasuo na hizo nywele mhhh, hizo strechmarks na hivyo vinguo wapi na wapi jamani jamani oweiiii.
 
1185199_697442653603747_454946778_n.jpg
hii vipi sweetheart!?
 
snowhite, asante sana, ndio hii picha niliyokuwa naitaka, yaani jamani, umeona viatu? makeup? na nguo yenyewe ya kuvaa kwenye mtoko? mie bwana huyu dada ananichoshaga sana, samahanini ni mchafu mchafu sana, anatakiwa ajirekebishe haswaaa.
 
she is my classmet huko dom namjua vizuri sana sauda huwa najiuliza kama wewe sijui why haendi wakati
hebu niwekee na sauda mwilima plz, sijui nimemuona kwenye hii ya au ya diamond, omg! sauda hanaga mtu wa karibu wa kumshauri jamani, huyo mume anashindwa kabisaaa? kiukweli sijui yule dada huwa anafikiria nini haswa, mbona habadiliki hata kidogo jamani? hiyo picha ya mwisho huyo dada alivyokauka sasa na huo mpasuo na hizo nywele mhhh, hizo strechmarks na hivyo vinguo wapi na wapi jamani jamani oweiiii.
 
ooh wema natural ni mweupe hayo mamichirizi mwilini ni ya nini jamani wanawake njooni mseme
1.Mhh sijui aliwaza nini huyu.............

7.Wema namkubali kwa hayo madini LOL.....Make up ikizidi sana hapana
foolishage-premier-262-of-273.jpg
 
she is my classmet huko dom namjua vizuri sana sauda huwa najiuliza kama wewe sijui why haendi wakati

huyu dada hajipendi kabisaaaaaa! sijawahi kumuona kapendeza/kavaa kitu kinachoridhisha, kuanzia kwenye vipindi vyake mpaka mitoko, anatakiwa ajirekebishe asap.
 
nyamayao kama unaweza pata no yake tumtafute bwana
huyu dada hajipendi kabisaaaaaa! sijawahi kumuona kapendeza/kavaa kitu kinachoridhisha, kuanzia kwenye vipindi vyake mpaka mitoko, anatakiwa ajirekebishe asap.
 
1.Mhh sijui aliwaza nini huyu.............
foolishage-premier-216-of-273.jpg

2.Ni mimi peke yangu ndio naona nikionacho
foolishage-premier-268-of-273.jpg

3.Mboto what the hell do you think you were going!!!!!!
foolishage-premier-87-of-273.jpg

4.Hizo soksi miguuni vipi tena!!!!!!!
foolishage-premier-81-of-273.jpg

5.Steve Nyerere is this your new style!!!!!Dude dont do it again!!!!
foolishage-premier-108-of-273.jpg

6.Shoes ni kama vile zimepwayaaa!!!!!!!!
foolishage-premier-206-of-273.jpg

7.mmh ni vyake au vya shoga ake!!!!!
foolishage-premier-38-of-273.jpg

7.Wema namkubali kwa hayo madini LOL.....Make up ikizidi sana hapana
foolishage-premier-262-of-273.jpg

8.Mmmh hayo mabuti darisalama ni winter these days lol!!!!
foolishage-premier-9-of-273.jpg

9.Do i need to say more........
foolishage-premier-18-of-273.jpg

10.Ungevaa high hills ingekuwa much better not with those flat shoes
foolishage-premier-90-of-273.jpg

11.The shoes......mmh!!!!!!!!!!
foolishage-premier-113-of-273.jpg

12.huo mpasuo mashallah!!!!!ila niseme sana mie
foolishage-premier-179-of-273.jpg

Mode watuwekee sub forum ya urembo basi.list itaongezeka hapo baadae.......

Picha kwa hisani ya 8020 blogspot.......
hahahah you make ma day asee....hivi kumbe,saa mbona wadada wanamichirizi chirizi hivyo stive hahaha duh
 
snowhite, asante sana, ndio hii picha niliyokuwa naitaka, yaani jamani, umeona viatu? makeup? na nguo yenyewe ya kuvaa kwenye mtoko? mie bwana huyu dada ananichoshaga sana, samahanini ni mchafu mchafu sana, anatakiwa ajirekebishe haswaaa.

nafikiri invisible wakiweka kasub kaurembo, atajirekebisha ile fashion police itakuwa yaukweli....
 
nyamayao kama unaweza pata no yake tumtafute bwana

labda kuna watu wake wa karibu wanapitia humu au labda yeye mwenyewe pia, ajirekebishe chaaappp, kuanzia ma weaving yake mpaka miguuni.
 
hahahah you make ma day asee....hivi kumbe,saa mbona wadada wanamichirizi chirizi hivyo stive hahaha duh

ni za cream hizo, Wadada wanajiharibu n its too late to be normal again,,,

ngozi zinatengeneza ramani za nchi na mikoa yake na vijiji na vitongoji, usoni makunyanzi,

hii ni kwa wengine pia mliojikwangua rangi zenu halisi,
 
ni ya cream, Wadada wanajiharibu n its too late to be normal again,,,

ngozi zinatengeneza ramani za nchi na mikoa yake na vijiji na vitongoji, usoni makunyanzi!!!!!!!!!!

hii ni kwa wengine pia mliojikwangua rangi zenu halisi,
 
ni za cream hizo, Wadada wanajiharibu n its too late to be normal again,,,

ngozi zinatengeneza ramani za nchi na mikoa yake na vijiji na vitongoji, usoni makunyanzi,

hii ni kwa wengine pia mliojikwangua rangi zenu halisi,

Naomba unisaidie hilo lilikuwa ni shindano gani???????? Loooh!!!! maana kucheka nashindwa, kununa ndio kabisa, kutabasamu majanga ila mwacheni mungu aitwe mungu na saloon zinaphotoa watu nimekubali. Ila stiv hata kama aliiga mh mh!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom