Fashion police!!!!!!!!Nionavyo mimi

Fashion police!!!!!!!!Nionavyo mimi

huyo mdada picha ya kwanza ndo kaua kabisaaaaa,limwili lote hilo ndo kuvaa kanguo hako,arusha hukatizi
 
Naomba unisaidie hilo lilikuwa ni shindano gani???????? Loooh!!!! maana kucheka nashindwa, kununa ndio kabisa, kutabasamu majanga ila mwacheni mungu aitwe mungu na saloon zinaphotoa watu nimekubali. Ila stiv hata kama aliiga mh mh!!!!!!!!!!!!

ni red carpet ya Foolish age.............

Naona Steve ameaua kufata nyendo za Nyoshi el saadat........LOL!!!!!!
 
mie naona wote uliowaweka wameua mbayaaa kabisa, mwenye afadhali ni wema tu hapo, na huwa hakoseagi kihivi lakini imetokea bahati mbaya kidogo, nguo yake ilikuwa nzuri alipendeza ishu ni hiyo makeup na hizo nyewele aisee.
 
hii rangi ilikuwa nzuri isee
Wema alikuwa na colour fulani hivi very natural,lakin sa hizi hapana mkorogo huu looh

images
 
ni red carpet ya Foolish age.............

Naona Steve ameaua kufata nyendo za Nyoshi el saadat........LOL!!!!!!

Kama hivyo sawa kwani naona wote wako kwenye foolish age sema wamefanyia utoto wao ya mwenzao.
 
mie naona wote uliowaweka wameua mbayaaa kabisa, mwenye afadhali ni wema tu hapo, na huwa hakoseagi kihivi lakini imetokea bahati mbaya kidogo, nguo yake ilikuwa nzuri alipendeza ishu ni hiyo makeup na hizo nyewele aisee.

Wema always look STUNNING,hapo kwenye make up ndio alikosea too much make up,Kope nazo mwe.......
 
Kama hivyo sawa kwani naona wote wako kwenye foolish age sema wamefanyia utoto wao ya mwenzao.

Hahaaaa Tamatheo umenichekeshaje.........,wakati mwenzao anazindua foolish age

wao wakaamua kufanya yao kha!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa Tamatheo umenichekeshaje.........,wakati mwenzao anazindua foolish age wao wakaamua kufanya yao kha!!!!!!!
Yaani umepatia kabisa, yaani nimejitaidi kufungua macho ya ndani na ya nje sijapata wa kumwekea dhamana....woote wapo kwenye foolish age.
 
Inawezekana kuna watu wengi sana wana "matatizo ya akili" bila kujijua?
 
mie naona wote uliowaweka wameua mbayaaa kabisa, mwenye afadhali ni wema tu hapo, na huwa hakoseagi kihivi lakini imetokea bahati mbaya kidogo, nguo yake ilikuwa nzuri alipendeza ishu ni hiyo makeup na hizo nyewele aisee.
Hapo bold naogopa kukuunga mkono kwani wema wa 2006-2007 alikuwa Wema Abrahamu Sepetu ila wa Sasa anaitwa Wema Mikorogo Abrahamu Sepetu yaani jina limekua nae kakua pia. Embu tazama hiyo picha licha ya kumfikiria alivyo lazima utamwonea huruma mwili umejaa milima na mabonde hadi kero, nataka mungu anipe miaka mingi ijayo ili nimwone atafikia watu..
 
kwa hilo sikatai, amejiharibu sana sana! lakini kwa mavazi huwa anatoka bomba sana, ni smart sana.
 
hebu niwekee na sauda mwilima plz, sijui nimemuona kwenye hii ya au ya diamond, omg! sauda hanaga mtu wa karibu wa kumshauri jamani, huyo mume anashindwa kabisaaa? kiukweli sijui yule dada huwa anafikiria nini haswa, mbona habadiliki hata kidogo jamani? hiyo picha ya mwisho huyo dada alivyokauka sasa na huo mpasuo na hizo nywele mhhh, hizo strechmarks na hivyo vinguo wapi na wapi jamani jamani oweiiii.

Hivi mkuu kumbe hata wewe unaonaga eee yaani mavazi na shepu yake haviendani kapsaaaa. Mbaya zaidi anapovaa viblauz vya mbano tumbo hilooooo
 
Sauda ni noma,sijawahi kumuona akiwa ametokelezaa Kha....na mkorogo anaoupiga siku
hizi ndio balaa
 
Back
Top Bottom