Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,562
Tatizo hamna point of return yaani huyu angekuwa wa kwanza kurudi bt amashapoteza utamu wake ameishia kuwa ndimu kavu.Angalia hapa......
![]()
Tatizo hamna point of return yaani huyu angekuwa wa kwanza kurudi bt amashapoteza utamu wake ameishia kuwa ndimu kavu.Angalia hapa......
![]()
Hapo kwenye namba 5 hilo Afro limenikumbusha good old 70s wakati ule kila kijana alikuwa anajaribu kufuga 'kibanda'!!
zamani nilikuwa naangalia fashion police at E!. i only stopped because niko mbali na dstv these days :/
sijui aliazima kakiatu pia loo badilika bwana bado una mambo ya uhuru primary tu
Angalia hapa......
![]()
Wote tisa huyo namba moja ni kiboko ya njia. Duuh!!
Kwani ndiyo waliompaka mkorogo au amejipaka mwenyewe?"Wanaume wabaya sana....tunamsababisha binti wa watu anakuwa ka kitimoto?"
"Wanaume wabaya sana....tunamsababisha binti wa watu anakuwa ka kitimoto?"
Wanamwambia ndio anapendeza.Kwani ndiyo waliompaka mkorogo au amejipaka mwenyewe?
Basi atakuwa ni mmoja tu naye ni Diamond na siyo wote.Wanamwambia ndio anapendeza.
Hiyo ya socks inashika kasi! Sijui wanaficha magaga?ni red carpet ya Foolish age............. Naona Steve ameaua kufata nyendo za Nyoshi el saadat........LOL!!!!!!
Basi angeacha baada ya affair kufa.Basi atakuwa ni mmoja tu naye ni Diamond na siyo wote.
Ile kitu demu akianza tu kuacha msala, lazima mtamkimbia tu. No point of return hapo mjomba.Basi angeacha baada ya affair kufa.