Fashion police!!!!!!!!Nionavyo mimi

Fashion police!!!!!!!!Nionavyo mimi

Kimsingi uswahili umemkaa sana akilini...ana akili kama za wale waimba taarabu maana ndio swag zao hizo katika suala zima la fashion. ...

snowhite, asante sana, ndio hii picha niliyokuwa naitaka, yaani jamani, umeona viatu? makeup? na nguo yenyewe ya kuvaa kwenye mtoko? mie bwana huyu dada ananichoshaga sana, samahanini ni mchafu mchafu sana, anatakiwa ajirekebishe haswaaa.
 
huyu dada hajipendi kabisaaaaaa! sijawahi kumuona kapendeza/kavaa kitu kinachoridhisha, kuanzia kwenye vipindi vyake mpaka mitoko, anatakiwa ajirekebishe asap.

Umesahau na alivyojipara uso kwa mkorogo...yaani uso umemkakamaa kama chapati iliyokosa mafuta...
 
Basi angeacha baada ya affair kufa.

Hahaha ukianza mkorogo haina kuacha...ukiacha tu unageuka kuwa sanamu la ikulu...unakuwa hueleweki rangi halisi ya ngozi ni ipi
 
Angalia hapa......
images

Khaaa!
Hivi wanaojikwangua ngozi wanafikiri nini?
Huyu dada kajiharibu kishenzi... duh! Inasikitisha aise!
 
Hiyo ya socks inashika kasi! Sijui wanaficha magaga?

Mwenzangu,juu unapiga gauni la nguvu chini soksi lol.........

haya magaga mbona yanataka kutukosesha raha na mitoko yetu jamani
 
khaaa!
Hivi wanaojikwangua ngozi wanafikiri nini?
Huyu dada kajiharibu kishenzi... Duh! Inasikitisha aise!

inasikitisha sana na too bad hauwezi kurudi kule ulikotoka hata iweje!!!!!!!!!!!
 
Hahahahahaha...vitukooo balaaaa!!!
Cheka sana mimi...
 
huyu dada hajipendi kabisaaaaaa! Sijawahi kumuona kapendeza/kavaa kitu kinachoridhisha, kuanzia kwenye vipindi vyake mpaka mitoko, anatakiwa ajirekebishe asap.

mimi mavazi tu huwa yananiacha hoi alafu anapenda nguo za aina moja hivi kama zina vikoti au kama za kuunga hivi alafu hata hazimpendezi na hivyo viatu jamani lol sijui hata anatembeaje.
 
Huyu mtu wa post ya 12 mimi binafsi kwa haraka nilishindwa kuelewa yuko upande upi
 
mimi mavazi tu huwa yananiacha hoi alafu anapenda nguo za aina moja hivi kama zina vikoti au kama za kuunga hivi alafu hata hazimpendezi na hivyo viatu jamani lol sijui hata anatembeaje.

umeona wanja? hivyo viatu kama vilimshinda kutembelea kwanini asivae tu vya kuziba? ona madole yalivyosogea mbele, hivi ina maana hapitiagi humu kwenye mitandao akaona anavyosema au ndio kaweka pamba mwenzetu? na asiende kwenye hiyo motoko basi kama anaona hawezi kuvaa akaeleweka.
 
Unadhani bila mimi na wewe angejichubua hivi basi?
Oooh kumbe kama wanajichubua kwa ajili yetu mbona viungo muhimu kwa ajili yetu tu huwa wanavisahau, unakuta kote kweupe peeee lakini huko Mtwara na Lindi mmmmh bila tochi ya asili unaweza usione mlango.
 
Huyo mdada wa kwanza akikatiza Mitaa ya Kongo Kariakoo lazima atapanda teksi bila ya kuuliza bei. Chezea Dungadunga wewe.
 
Back
Top Bottom