Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Bwana eeeh litakalo kuwa na liwe.Huyo ni mshana jr
Duhh ila me simo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Bwana eeeh litakalo kuwa na liwe.Huyo ni mshana jr
Honey Faith hapo mimi sijaona kitu labda ungeleta picha kama ya jana ningetafuta mawani niangalie kwa makini utafiti na Kibo10 may be wameona kitu hapo
Honey Faith hapo mimi sijaona kitu labda ungeleta picha kama ya jana ningetafuta mawani niangalie kwa makini utafiti na Kibo10 may be wameona kitu hapo
Duhh ila me simo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Honey Faith hapo mimi sijaona kitu labda ungeleta picha kama ya jana ningetafuta mawani niangalie kwa makini utafiti na Kibo10 may be wameona kitu hapo
Mr Rocky hata mimi nimeona chenga tu labda angekuwa Honey Faith ndio katokelezea hivyo ningeweza nikaona kwa mbali labda mtaalamu utafiti anaweza kuona hapa!Honey Faith hapo mimi sijaona kitu labda ungeleta picha kama ya jana ningetafuta mawani niangalie kwa makini utafiti na Kibo10 may be wameona kitu hapo
Mr Rocky hata mimi nimeona chenga tu labda angekuwa Honey Faith ndio katokelezea hivyo ningeweza nikaona kwa mbali labda mtaalamu utafiti anaweza kuona hapa!
Samahani mkuu kwa usumbufu.....kwani kijana wa watu amekukosea nin ?i.....unamchukiaje kijana mwenzio kiasi hicho....?....vile vile kwanini unacheka maumbile ya binadamu mwenzio ilihali hakuna kiumbe hata mmoja aliyejadiliana na MUNGU kuwa aumbwe vipi....na ndio sote tunaamini tumeumbwa kwa mfano wake....kwa hiyo ukimkosoa binadamu mwenzio ujue unamkosoa MUUMBA....kijana bado una safari ndefu sana kwenye maisha na kwa bahati mbaya au nzuri hakuna anayejua mambo ya mbele.....huyo unayemuita domo anaweza akaja kukuita wewe mlemavu..........CHUNGA SANA KIJANA......BADO SAFARI NI NDEFU SANA.....Domo.. aka Almasi....!
Homey faith kwa kweli sioni kitu hapo may be ungetuletea Rihanna akiwa hivyo ningeonaHaujamuona hata huyo panya anayetembea nae?
utafiti kaniambia hapa haoni kitu may be tukatafute darubini tuje tuchungulie hapa ingekuwa Rihanna watu wangeona mpaka kiatu alichovaaaMr Rocky hata mimi nimeona chenga tu labda angekuwa Honey Faith ndio katokelezea hivyo ningeweza nikaona kwa mbali labda mtaalamu utafiti anaweza kuona hapa!
Honey Faith tutafutie mambo zetu zile bana ndo tutaona aise hapa ni chenga chenga tuuHuyo panya aliekuwepo nae pia haumuoni?
Homey faith kwa kweli sioni kitu hapo may be ungetuletea Rihanna akiwa hivyo ningeona
utafiti kaniambia hapa haoni kitu may be tukatafute darubini tuje tuchungulie hapa ingekuwa Rihanna watu wangeona mpaka kiatu alichovaaa
Honey Faith tutafutie mambo zetu zile bana ndo tutaona aise hapa ni chenga chenga tuu
cc Kibo10 , utafiti
That's true Mr Rocky kama Honey Faith anataka tuone atupie ile vitu nono akifanya hivyo hata utafiti atatoka pangoni au honey ajibandike yeye wallah tutaona sote kwa pamoja!
That's true Mr Rocky kama Honey Faith anataka tuone atupie ile vitu nono akifanya hivyo hata utafiti atatoka pangoni au honey ajibandike yeye wallah tutaona sote kwa pamoja!
Ninaweza kuwasababishia upofu kabisaaa bora tu tuwawekege hawa macelebrity ila mie nitawapofua macho
Tutapofuka macho ila hatutapata tezi dume aise Honey Faith au unasemaje Kibo10
Tutapofuka macho ila hatutapata tezi dume aise Honey Faith au unasemaje Kibo10
Tezi dume ndio habari ya mjini maana ukipata tu unaenda marekani kutibiwa sasa huo upofu inakuaje?
Tezi dume ndio habari ya mjini maana ukipata tu unaenda marekani kutibiwa sasa huo upofu inakuaje?
Kama Honey Faith anaweza kuleta hiyo burudani mimi nipo tayari kupofuka na dhamana ya macho ya Mr Rocky naichukuwa mimi
Kwa ile aina ya matibabu yake Honey Faith sina hamu nayo aise tezi dume wapate huko huko bora upofu nitavaa miwani aise nichungulie
Kama Honey Faith anaweza kuleta hiyo burudani mimi nipo tayari kupofuka na dhamana ya macho ya Mr Rocky naichukuwa mimi