TWANGA PEPETA WAKIWAJIBIKA MAZOEZINI photos | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TWANGA PEPETA WAKIWAJIBIKA MAZOEZINI photos

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 11, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">

  </td> <td width="606">
  </td> <td align="right" width="139">
  </td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta International’ jana walinaswa na kamera yetu wakiwajibika vikali na mazoezi katika ofisi za bendi hiyo zilizopo Kinondoni Vijana jijini Dar es Salaam. Akiongea na mwanahabari wetu, Mkurugenzi wa Kampuni ya (ASET), Asha Baraka, alisema kuwa kutokana na ratiba yenye ‘pressure’ ameamua kuongeza muda wa mazoezi tofauti na walivyokuwa wakifanya siku za nyuma ambapo wanamuziki walitakiwa mazoezi kuanzia saa sita mchana na hadi saa kumi jioni, na sasa wanatakiwa kuanza mazoezi saa nne asubuhi hadi saa kumi na moja jioni.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Baadhi ya wanenguaji wa Twanga Pepeta wakiwajibika mazoezini.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mpiga ‘drum’ wa bendi hiyo, James Kibosho, akiwa shughulini mazoezini. Aliyesimama ni mpiga tumba wa bendi hiyo ajulikanaye kwa jina la kisanii kama ‘MCD’ akiwa mazoezini.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Joseph Shamba ‘Vengu’ (kushoto) akiwa na kiongozi wa African Stars ‘Twanga Pepeta’, Luiza Mbutu (katikati), na kulia ni mkurugenzi wa bendi hiyo, Asha Baraka.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mchekeshaji mahiri wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja’ (kushoto aliye na kamera) akijaribu kuwapiga picha wanamuziki wa bendi hiyo wakiwa mazoezini. Kulia kwake) ni Kalala Juniour, muimbaji wa bendi hiyo.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Joseph Shamba ‘Vengu’ (aliyesimama) akiongea kwa msisitizo mkali na mataalam wa tiba za jadi maarufu kwa jina la Manyaunyau wakiwa katika Kinyaiya Pub iliyo karibu na ofisi za (ASET).

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Kalala Juniour akimlisha firigisi mchekeshaji ‘Vengu’ muda mfupi baada ya kupumzika mazoezi.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Alex Chalamila ‘Mac Reagan’ akigandamiza kinanda katika shughuli hizo za kurekodi.


  ORIJINO KOMEDI WAKIREKODI KIPINDI
  KIKUNDI cha vichekesho cha Orijino Komedi kinachorushwa hewani kupitia luninga ya ‘TBC1’ jana kilinaswa na mpiga picha wetu kikirekodi kipindi ndani ofisi za ASET Kinondoni jijini Dar es Salaam.
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Isaya Mwakilasa ‘Wakuvanga’ akipiga gitaa na kuporomosha songi la nguvu wakati Emmanuel Mgaya ‘Masanja’ akiwa katika harakati za kurekodi kipindi hicho.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Joseph Shamba ‘Vengu’ akiwa ‘siriazi’ na gitaa la bass katika moja ya shughuli za kuwezesha kipindi chao kwenda hewani vizuri.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mpiga picha wa kundi la Orijino Komedi aliyejitambulisha kwa jina moja la Kissoky, (kushoto) akiwa na ‘Masanja’ (katikati) na Rogert Hegga mwanamuziki ‘Twanga Pepeta’ ndani ya Kinyaiya Pub muda mfupi baada ya kutoka mazoezini.

  </td></tr></tbody></table>
   
 2. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2010
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  ni jambo la maana ukikopi kazi za watu (global publishers) basi hata uaknowledge
   
 3. upele

  upele JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watafunikwa sasa hivi nao channel fulani wanasaka zaidi yao habari ndiyo hiyoo kushneyyy sasa waite used commmmd
  Conquest
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sasa a-acknowledge nini wakati picha zinaonesha watermark ya source?
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Kuna Watu humu ndani ya JF kazi zao ni kupinga kila kitu wao wenyewe hawaweki habari yoyote kazi yao ni kupinga pinga ngojeeni Uchaguzi muwapinge viongozi wenu kama mnajuwa kupinga zaidi (MIAFRIKA BWANA NDIVYO ILIVYO) Sasa wewe ulitaka niweke picha za kwangu? kama sio kukopi kwenye Magazeti yetu ya kibongo? hata kama picha yako nitaiona kwenye Gazete nitaiweka humu humu kwenye JF
   
 6. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Asante sikuiona watermark mkuu. Lakini naona jamaa kaja juu kweli kweli hapo juu hakunilewa juu ya kuacknowledge yeye anasema napinga.
   
 7. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Pole mkuu wangu, kukuomba uacknowledge sio kupinga, sijasema usiweke picha wala habari ila nachosema ni vizuri useme umeitoa wapi maana inakuwa kama hizo picha umezipiga mwenyewe kumba kuna sehemu umechukua. Hata hivyo kuna mtu kanisahihisha kuwa muhuri wa GPL unaonekana kwenye picha hizo kwa hiyo haikuwa lazima kwa wewe kusema umezikopi wapi.
   
Loading...