Hofu yangu kuujionii laiini
View attachment 384921
Hofu yangu kuu
Mahindi ya kuchemsha
Supu yenye viungo
Mkate
Hii mixer hii...! Unatafuta nini wewe?
Tulianza na Mungu.....!Nipo Kaka, nilikuwa kwenye maandalizi ya ukuta bwana. Mambo yako sawa nasubiria kwa hamu zote
Kwani nyanya chungu ina nini hadi tuuane!!Hiyo supu imeweka nyanya chungu? Mama weee tutauwana yakheeeee
Kwani nyanya chungu ina nini hadi tuuane!!
Sa ndo useme tutauana!!!Ni Nzuri kwenye supu so tasty